Ni sahihi kuvaa jeans na raba Kanisani?

Madini matupu....hivi nawezaje kufollow mtu hapa Jf?
 
Umenena vema, lakini utamaduni wa hao wazungu tuliowaiga ni huwa hawavai majinsi na raba church. Kanisani kwao huwa ni kitu special sana. Kama tumewaiga mavazi, si ni tunapaswa kuyajua yanavaliwa wapi na wapi?
 
Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
Mkuu wewe unaweza vaa boxer kama ya Yesu kipindi kile?

Utatokelezeaje? Maana ilikua shuka ile.
 
Tulia kwanza mkuu tumalize haya mambo madogo madogo. Huko kwenye makubwa bado hatujafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…