NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Kweli kabisa Sasa sijui lengo kubwa ni Nini hii swadaka hata Mungu haipokei aisee, ni sawa nakumpa mtu kitu kwa kumsaidia halafu unamtangaza.sio sahihi hakukua na haja ya kuwapiga picha wao wametaka kutoa sadaka ya ftar wangetoa bila kuwadhalilisha kuwapanga na mstari kabisa
Lengo n hilo kujionesha tu hamna kingine mkuuKweli kabisa Sasa sijui lengo kubwa ni Nini hii swadaka hata mungu haipokei aisee, ni sawa nakumpa mtu kitu kwa kumsaidia halafu unamtangaza.
Biblia inasema "unapotoa msaada kwa mkono wa kulia hakikisha mkono wako wakushoto haujui"
Kama nitakua nimekosea mtanisahihisha na wajuzi wa Islamic waje wadadavue Nini nini miongozo wa Qur'an tukufu kuhusu kupiga picha watu wanaopewa msaada nakusambaa mtandaoni.
Nawasilisha swali langu.
ChiefHilo andiko la mkono usiuone mkono mwenziye lipo katika Biblia katika kitabu gani??-- naomba nukuu kwanza kabla sijachangia maoni yangu.
Chief
Hutaki bla bla bla!
ChiefHiyo ni hadithi ya mtukufu mtume Muhammad (saw) ndiyo inasema hivyo sasa leo nashangaa kusikia kwamba hadithi hiyo pia imo kwenye Biblia.
Kiukweli sadaka ya kutangaza au kujionyesha hiyo malipo yake hapa duniani Kwa maana utasifiwa kuwa umetoa lkn Kwa Allah haisomeki
Ila
Ninachoona kuna mazingira Fulani ambayo wafadhili wanatoa misaada sasa wanataka kuona je imewafikia walengwa?
Sasa kama hiyo ndio Nia Yao basi watapata malipo Yao inshallah lkn kama kujionyesha Kuwa wao ni watoaji basi hakuna thawabu hapo.
Mathayo 6:3
Amin, nawaambieni, Wamekwisha kupata thawabu yao. Bali wewe utoapo sadaka, hata mkono wako wa kushoto usijue ufanyalo mkono wako wa kulia
Swadakta chiefUmejibu vizuri sana chief, ila npenda niongezee kidogo hapo, kutoa kwa aina hiyo pia ni mafunzo na hamasa kwa watu wengine wenye uwezo wa kutoa nao watoe ili wapate radhi na thawabu kutoka kwa Allah, katika kutoa ni Allah pekee ndiye anayejua siri za nia za kutoa kwetu.
MATHAYO 6:2Leo nimejifunza kitu kipya, nashukuru sana. Kweli Yesu alikuwa nabii mkweli wa Mungu. Shukrani.
Sasa hivi wafadhili hawatuamini Wabongo usikute wafadhili wanataka wahakikishe kuwa msaada wao umewafikia walengwa. Wanatujua tabia zetu za upigajiSio sahihi hakukua na haja ya kuwapiga picha wao wametaka kutoa sadaka ya ftar wangetoa bila kuwadhalilisha kuwapanga na mstari kabisa
Kweli kabisa stara ni kitu muhimu Sana kwakweli.Leo tu nimetoka kushuhudia jambo kama hili, yaani hivihivi unasimamishwa na mizigo yako unapigwa picha.
Binafsi hili jambo linanikera sana, japo siwezi kuvaa viatu vya hao watoaji au hao wanaosimamia hayo mambo, maana kwao huonekana ni muhimu sana kupiga picha.
Lakini hatakama itakuwa hawafanyi hivyo kwa ria, lakini hili suala linawatia dhiki sana hao wanaosaidiwa, hebu watazame hata hao namna walivyokaa.
MATHAYO 6:2
Basi, unapomsaidia maskini, usijitangaze. Usifanye kama wanafiki wafanyavyo katika masinagogi na njiani ili watu wawasifu. Kweli nawaambieni, hao wamekwisha pata tuzo lao
Kiukweli sadaka ya kutangaza au kujionyesha hiyo malipo yake hapa duniani Kwa maana utasifiwa kuwa umetoa lkn Kwa Allah haisomeki
Ila
Ninachoona kuna mazingira Fulani ambayo wafadhili wanatoa misaada sasa wanataka kuona je imewafikia walengwa?
Sasa kama hiyo ndio Nia Yao basi watapata malipo Yao inshallah lkn kama kujionyesha Kuwa wao ni watoaji basi hakuna thawabu hapo.