Ni sahihi kuweka msiba au kupitisha mchango wa msiba kwa mtoto aliyefia tumboni?

Ni sahihi kuweka msiba au kupitisha mchango wa msiba kwa mtoto aliyefia tumboni?

mmmh[emoji52] , makubwa[emoji58]
, yani msiba why? so si itakua sasa hata mimba ikiharibika au ikitoka basi tuweke msiba pia?[emoji53]

hell no, waache upuzi
 
Wazazi waliofiwa na watoto walikuwa wanaelewana na serikali ya mtaa uliokaribu na hospital wanalipa 50K, anahifadhiwa.

Mambo yanaisha.
 
Ndiyo ni sahihi.maana hata huyo ni kiumbe Cha Mungu.kwanza hiyo inakuwa ni njia Moja ya kuujulisha umma kuwa mtoto kafariki.fikiria Sasa umekaa kimya halafu wanajamii waanze kukuuliza kulikoni?au umeitoa? Na Kwa Nini?
 
Back
Top Bottom