Ni sahihi kuweka msiba au kupitisha mchango wa msiba kwa mtoto aliyefia tumboni?

Hii iliwahi kunitokea. Nikawauliza wazee wakasema hakuna kuweka msiba. Nenda mwenyewe na mtu mmoja mkauhifadhi huo mwili. Hakuna msiba wala mchango.
Mi mwenyewe ilinitokea ilikuwa miezi saba kwenda nane mama mtoto aliniambia zilipita siku mbili bila ya kuhisi mtoto kucheza tumboni kwenda hospital ikawa tayari kashafia tumboni kimsingi inaumiza sana
 
Inaumiza sana.
 
Back
Top Bottom