Ni sahihi kwa hili katika couple ya Kikristo?

Ni sahihi kwa hili katika couple ya Kikristo?

Joao de Matos

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
334
Reaction score
268
HABARI,

Nahitaji kujua kama ni sahihi kutoa sauti za mahaba "Loud moaning" wakati wa Tendo la ndoa?

Maana nimeona kwenye website tofauti tofauti Kila mmoja akitoa jibu lake, nimeamua kuleta huku pia tuweze kujadili. Hivi mnalichukuliaje hili.

Kwa kuwa Tendo la ndoa ni zawadi kutoka kwa Mungu ameitoa kwa wanadamu kwa wanandoa na inaleta furaha katika ndoa.

Karibuni wadau.
 
hizi mambo za kujifanya watakatifu hadi kwenye tendo jamani😀😀😀yani unogewe ushindwe kumoan kisa?😅😅 kama ni dhambi basi me motoni direct
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 DAAAAA
 
Mfano Kuna huyu sijui Ni pastor halipo hapa.
Screenshot_20220628-200250.png
Screenshot_20220628-200258.png
 

Attachments

  • Screenshot_20220628-200250.png
    Screenshot_20220628-200250.png
    83.2 KB · Views: 7
Shida wengi siku hizi wamekosa maarifa, wanasoma bible na hawaielewi. Kuna mambo ya kimwili na kiroho ni mjinga pekee anaweza kuleta huo mjadala.
 
Kiukweli labda ndani ya nyumba kukiwepo watu lakini kwenye nyumba tukiwepo wenyewe aseee lazima nijiachie,mi pamoja na ulokole wangu linapokuja swala la kubaiolojiana sijawahi leta masiala
 
kiukweli labda ndani ya nyumba kukiwepo watu lakini kwenye nyumba tukiwepo wenyewe aseee lazima nijiachie,mi pamoja na ulokole wangu linapokuja swala la kubaiolojiana sijawahi leta masiala
Mkuu kama wakiwa watu ndani na usitoe sauti kwa Nini mkiwa pekeenu mnatoa sauti, uoni kuwa unapingana na antimatter aliyesema kuwa Ni involuntary
 
kiukweli labda ndani ya nyumba kukiwepo watu lakini kwenye nyumba tukiwepo wenyewe aseee lazima nijiachie,mi pamoja na ulokole wangu linapokuja swala la kubaiolojiana sijawahi leta masiala
Huo muda wa kusikilizia kama kuna watu au hakuna ndo unatoka wapi? sasa chukulia mfano umepanga chumba nyumba zetu za kupanga dirisha linapakana na dirisha la jirani, utajibana kisa? nunua radio ukitaka kufanya yako fungulia kamziki jiachie bhana 😀
 
Yaani tushindwe kupiga mikelele ya utamu sababu ya kuwa wakristo? hell no msicomplicate maisha hivo bana. Ndiyo maana hivyo viungo viliumbwa na haiwezekani hasi na chanya zigusane bila kutoa cheche(mlio)😂😂.

Kupiga kelele mixer miuno kama feni bovu is allowed
Wansemaga haviokoki hivyo utaokoka wewe ila vyenyewe kazi yake ni moja 😀😀😀😀😀
 
Hahahahah,😄😄😄😄😁😁😁😁 𝐍𝐢𝐦𝐞𝐦𝐤𝐮𝐦𝐛𝐮𝐤𝐚 𝐦𝐩𝐚𝐧𝐠𝐚𝐣𝐢 𝐣𝐢𝐫𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐝𝐨𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐢𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐛𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐤𝐮 𝐚𝐤𝐢𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐛𝐨𝐝𝐚 𝐛𝐨𝐝𝐚 𝐦𝐢𝐝𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐲𝐚 𝐬𝐚𝐚 𝐭𝐚𝐧𝐨 𝐮𝐬𝐢𝐤𝐮 𝐮𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐬𝐢𝐤𝐢𝐚 𝐦𝐚𝐤𝐞𝐥𝐞𝐥𝐞 𝐲𝐚 𝐦𝐤𝐞 𝐰𝐚𝐤𝐞 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐩𝐞𝐧𝐳𝐢, 𝐤𝐢𝐥𝐚 𝐬𝐢𝐤𝐮 𝐮𝐬𝐢𝐤𝐮 , 𝐦𝐚𝐣𝐢𝐫𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐭𝐚𝐩𝐮𝐦𝐳𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐬𝐞𝐫𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐬𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢, 𝐛𝐚𝐬𝐢 𝐢𝐥𝐢𝐤𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐢𝐛𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐣𝐢𝐫𝐚𝐧𝐢 𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐰𝐚𝐭𝐨𝐭𝐨 𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐧𝐚𝐨𝐢𝐬𝐡𝐢 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐟𝐚𝐦𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐲𝐚𝐚𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐦𝐚, 𝐝𝐚𝐝𝐚 , 𝐤𝐚𝐤𝐚,
Ilibidi tuandamane kwa balozi jamaa akahama na kwenda kupanga maeneo mengine, ila nasikia jamaa walishaachana na mke wake kisa jamaa alikuwa na mchepuko,
 
Spirit of Lust [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ila jamani sa tukinyamaza mtafanyaje? Tukimake silent move mana sio kwamba tunashindwa ukiamua unauchuna tu [emoji2] ila dada haitii moyo unakuta tu inabidi umkoleze mtu na sauti N maneno ya hapa na hapa

Puuuh! Allah atuokoe na uzinzi
 
Back
Top Bottom