Ni sahihi kwa hili katika couple ya Kikristo?

Ni sahihi kwa hili katika couple ya Kikristo?

HABARI,

Nahitaji kujua Kama Ni sahihi kutoa sauti za mahaba "Loud moaning" wakati wa Tendo la ndoa?

Maana nimeona kwenye website tofauti tofauti Kila mmoja akitoa jibu lake, nimeamua kuleta huku pia tuweze kujadili. Hivi mnalichukuliaje hili.

Kwa kuwa Tendo la ndoa ni zawadi kutoka kwa Mungu ameitoa kwa wanadamu kwa wanandoa na inaleta rufaha katika ndoa.

Karibuni wadau.
WE FANYA UMALAYA WAKO WOTE KWA MKEO/MUMEO..!!! Toa sauti, biduka, goma kwenda, mende, na masauti kama yote
 
Binafsi napenda demu asitoe sauti maana huwa naitafsiri ni kiburi na hapo ndo huwa nakuwa ka moto kishenzi akizubaa naweza kumkata mpk kanjegere
 
Yaani tushindwe kupiga mikelele ya utamu sababu ya kuwa wakristo? hell no msicomplicate maisha hivo bana. Ndiyo maana hivyo viungo viliumbwa na haiwezekani hasi na chanya zigusane bila kutoa cheche(mlio)[emoji23][emoji23].

Kupiga kelele mixer miuno kama feni bovu is allowed
Haswa uwe na komwe kubwa kama uwanja wa fisi
 
Huo muda wa kusikilizia kama kuna watu au hakuna ndo unatoka wapi? sasa chukulia mfano umepanga chumba nyumba zetu za kupanga dirisha linapakana na dirisha la jirani, utajibana kisa? nunua radio ukitaka kufanya yako fungulia kamziki jiachie bhana [emoji3]
Yaani kuna mda nyumba mnakuwa na ndugu,watoto n.k lakini tukibaki wawili najiachia sana nakuwa huru sana
 
Mkuu Kama wakiwa watu ndani na usitoe sauti kwa Nini mkiwa pekeenu mnatoa sauti, uoni kuwa unapingana na antimatter aliyesema kuwa Ni involuntary
Yaani wakiwepo watu nagugumia taratibu yaani si unajua kujibana,we acha ile kitu ni tamu bwana kujiachia ndo mpango,hivi unaweza piga kelele watoto wamelala jirani
 
Wengine hawafikii to the end bila kelele oops [emoji126]
 
HABARI,

Nahitaji kujua Kama Ni sahihi kutoa sauti za mahaba "Loud moaning" wakati wa Tendo la ndoa?

Maana nimeona kwenye website tofauti tofauti Kila mmoja akitoa jibu lake, nimeamua kuleta huku pia tuweze kujadili. Hivi mnalichukuliaje hili.

Kwa kuwa Tendo la ndoa ni zawadi kutoka kwa Mungu ameitoa kwa wanadamu kwa wanandoa na inaleta rufaha katika ndoa.

Karibuni wadau.
Waache wapige kelele, maana hakika hili tendo limelawaniwa...

Lingekua ni zawadi kutoka kwa Mungu, Adam na Hawa wasingefukuzwa baada ya kufanya matusi...
 
Waache wapige kelele, maana hakika hili tendo limelawaniwa...

Lingekua ni zawadi kutoka kwa Mungu, Adam na Hawa wasingefukuzwa baada ya kufanya matusi..
Adam na Hawa walifanya matusi gani? Tueleze maana kwenye Biblia inasema walifanya dhambi kwa kula tunda walilokatazwa.
 
HABARI,

Nahitaji kujua Kama Ni sahihi kutoa sauti za mahaba "Loud moaning" wakati wa Tendo la ndoa?

Maana nimeona kwenye website tofauti tofauti Kila mmoja akitoa jibu lake, nimeamua kuleta huku pia tuweze kujadili. Hivi mnalichukuliaje hili.

Kwa kuwa Tendo la ndoa ni zawadi kutoka kwa Mungu ameitoa kwa wanadamu kwa wanandoa na inaleta rufaha katika ndoa.

Karibuni wadau.
Thibitisha Mungu yupo kwanza.
 
Katika Uislam, tendo la ndoa (ndani ya ndoa) ni Ibada. Wanandoa halali wakilifanya wanapata starehe zao na thawabu juu.

Na Adam na Hawa hawakufukuzwa kwa kufanya matusi kama unavyosema.

Hii ni kwa mujibu wa Dini ninayoifuata, yaani
Thanks, mkuu hata kwa wakristo, Tunaamini Tendo la Ndoa Ni zawadi iliyotoka kwa Mungu, Na ndo maana tunaliita Tendo la ndoa , na mwazilishi wa Ndoa Ni MUNGU tendo la ndoa Ni kitendo kitakatifu na Ni Lazima lifaywe kwa Utakatifu.

Adam na Hawa walikula tunda halisi sio kwamba walifanya matusi lilikuwa Ni tunda halisi, coz MUNGU aliwaambia kuwa wakazae wakazae hata kabla ya dhambi kuingia.
Sawa Smart911
 
Katika Uislam, tendo la ndoa (ndani ya ndoa) ni Ibada. Wanandoa halali wakilifanya wanapata starehe zao na thawabu juu.

Na Adam na Hawa hawakufukuzwa kwa kufanya matusi kama unavyosema.

Hii ni kwa mujibu wa Dini ninayoifuata, yaani Uislam.
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Back
Top Bottom