Ni sahihi kwa hili katika couple ya Kikristo?

Ni sahihi kwa hili katika couple ya Kikristo?

Naomba niulize, hivi mwanamke akifikia muda anasema 'nakojoaaa', ni kweli au napigwa?
 
Sio kwa wakristo tu, hata wasio wakristo ukiwa unapiga kelele wakati wa tendo kuna namna jamii iliyokuzunguka inakuona, mwanamke lazima uwe na staha, jambo hilo ni siri linafanyika chumbani hata kama ni sebuleni badolinakuwa siri ya wanaofanya sasa kwanini uwape faida wanaopita nje? Iwe miguno tu kuashiria unafurahia kile unachokipata, kila jambo likifanywa bila kiasi linageuka kuwa kero
 
Naomba niulize, hivi mwanamke akifikia muda anasema 'nakojoaaa', ni kweli au napigwa?
Inategemea na alivyokuzoea maana wengine wanapenda mkojoe pamoja, lakini hata asiposema ukimzoea mpenzi/mke wako utajua hapa anakojoa
 
Kwa maisha haya yalivyo magumu alafu mke wangu asitoe sauti za mahaba wakati watendo kisa mkristo.. nita mwacha upesi.
 
Back
Top Bottom