Ni sahihi kwa hili katika couple ya Kikristo?

Joao de Matos

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
334
Reaction score
268
HABARI,

Nahitaji kujua kama ni sahihi kutoa sauti za mahaba "Loud moaning" wakati wa Tendo la ndoa?

Maana nimeona kwenye website tofauti tofauti Kila mmoja akitoa jibu lake, nimeamua kuleta huku pia tuweze kujadili. Hivi mnalichukuliaje hili.

Kwa kuwa Tendo la ndoa ni zawadi kutoka kwa Mungu ameitoa kwa wanadamu kwa wanandoa na inaleta furaha katika ndoa.

Karibuni wadau.
 
hizi mambo za kujifanya watakatifu hadi kwenye tendo jamani๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€yani unogewe ushindwe kumoan kisa?๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kama ni dhambi basi me motoni direct
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ DAAAAA
 
Mfano Kuna huyu sijui Ni pastor halipo hapa.
 

Attachments

  • Screenshot_20220628-200250.png
    83.2 KB · Views: 7
Shida wengi siku hizi wamekosa maarifa, wanasoma bible na hawaielewi. Kuna mambo ya kimwili na kiroho ni mjinga pekee anaweza kuleta huo mjadala.
 
Kiukweli labda ndani ya nyumba kukiwepo watu lakini kwenye nyumba tukiwepo wenyewe aseee lazima nijiachie,mi pamoja na ulokole wangu linapokuja swala la kubaiolojiana sijawahi leta masiala
 
kiukweli labda ndani ya nyumba kukiwepo watu lakini kwenye nyumba tukiwepo wenyewe aseee lazima nijiachie,mi pamoja na ulokole wangu linapokuja swala la kubaiolojiana sijawahi leta masiala
Mkuu kama wakiwa watu ndani na usitoe sauti kwa Nini mkiwa pekeenu mnatoa sauti, uoni kuwa unapingana na antimatter aliyesema kuwa Ni involuntary
 
kiukweli labda ndani ya nyumba kukiwepo watu lakini kwenye nyumba tukiwepo wenyewe aseee lazima nijiachie,mi pamoja na ulokole wangu linapokuja swala la kubaiolojiana sijawahi leta masiala
Huo muda wa kusikilizia kama kuna watu au hakuna ndo unatoka wapi? sasa chukulia mfano umepanga chumba nyumba zetu za kupanga dirisha linapakana na dirisha la jirani, utajibana kisa? nunua radio ukitaka kufanya yako fungulia kamziki jiachie bhana ๐Ÿ˜€
 
Yaani tushindwe kupiga mikelele ya utamu sababu ya kuwa wakristo? hell no msicomplicate maisha hivo bana. Ndiyo maana hivyo viungo viliumbwa na haiwezekani hasi na chanya zigusane bila kutoa cheche(mlio)๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚.

Kupiga kelele mixer miuno kama feni bovu is allowed
 
Wansemaga haviokoki hivyo utaokoka wewe ila vyenyewe kazi yake ni moja ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Hahahahah,๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ๐๐ข๐ฆ๐ž๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฆ๐›๐ฎ๐ค๐š ๐ฆ๐ฉ๐š๐ง๐ ๐š๐ฃ๐ข ๐ฃ๐ข๐ซ๐š๐ง๐ข ๐ง๐๐จ๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐œ๐ก๐š๐ง๐ ๐š ๐›๐š๐ฌ๐ข ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐š๐ค๐ข๐ญ๐จ๐ค๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐›๐จ๐๐š ๐›๐จ๐๐š ๐ฆ๐ข๐๐š ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ฒ๐š ๐ฌ๐š๐š ๐ญ๐š๐ง๐จ ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐ฎ๐ง๐š๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐š ๐ฆ๐š๐ค๐ž๐ฅ๐ž๐ฅ๐ž ๐ฒ๐š ๐ฆ๐ค๐ž ๐ฐ๐š๐ค๐ž ๐ฐ๐š๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐Ÿ๐š๐ง๐ฒ๐š ๐ฆ๐š๐ฉ๐ž๐ง๐ณ๐ข, ๐ค๐ข๐ฅ๐š ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ฎ , ๐ฆ๐š๐ฃ๐ข๐ซ๐š๐ง๐ข ๐ฆ๐ญ๐š๐ฉ๐ฎ๐ฆ๐ณ๐ข๐ค๐š ๐ฆ๐ฌ๐ž๐ซ๐š ๐š๐ค๐ข๐ฌ๐š๐Ÿ๐ข๐ซ๐ข, ๐›๐š๐ฌ๐ข ๐ข๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐ฐ๐š ๐š๐ข๐›๐ฎ ๐ค๐ฐ๐š ๐ฆ๐š๐ฃ๐ข๐ซ๐š๐ง๐ข ๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฐ๐š๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ง๐š ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ข๐ฌ๐ก๐ข ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐Ÿ๐š๐ฆ๐ข๐ฅ๐ข๐š ๐ฒ๐š๐š๐ง๐ข ๐ฆ๐š๐ฆ๐š, ๐๐š๐๐š , ๐ค๐š๐ค๐š,
Ilibidi tuandamane kwa balozi jamaa akahama na kwenda kupanga maeneo mengine, ila nasikia jamaa walishaachana na mke wake kisa jamaa alikuwa na mchepuko,
 
Spirit of Lust [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Ila jamani sa tukinyamaza mtafanyaje? Tukimake silent move mana sio kwamba tunashindwa ukiamua unauchuna tu [emoji2] ila dada haitii moyo unakuta tu inabidi umkoleze mtu na sauti N maneno ya hapa na hapa

Puuuh! Allah atuokoe na uzinzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ