Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Igp ana taarifa zote!Hivi wewe na mwanasesere mna tofauti gani?
Under special circumstances za kisheria wanatoa mawasiliano ya mtuNimesikia jana kuwa kampuni moja ya simu imetoa mawasiliano ya Sabaya mahakamani.
Je hili linatoa taswira gani kwa wateja wake?
Binafsi siijui sheria hivyo nawaomba wenye uelewa tujulishane.
Kwa wenzenu huko majuu naona ethics zinapewa kipau mbele sana.inanikumbusha kisa cha Apple na Gaidi wa Alqaeda USA, laptop ilikuwa ina PIN basi CIA na FBI wakawaomba Apple waifungue hito laptop ili wanyonye taarifa zao, Apple waligoma ngoma ikaunguruma mpaka mahakamani Apple wakashinda basi ikabidi CIA na FBI watumie utundu wao kuifungua hiyo laptop japo walikuta video na picha za Porn tu....
Huku kwetu hivi vyombo TISS, Polisi, Bot nk sheria inawalinda wakitaka taarifa zako japo kuna procidure wanafuata then taarifa zinatoka kwenye mitandao ya simu na mabenki sio kiholela tu...
Kwa wenzenu huko majuu naona ethics zinapewa kipau mbele sana.
Bila kuiondoa ccm hakuna tutakacho kiweza ila tuweze kusonga mbelewamejiwekea taratibu na kukubaliana kuziishi...mwisho wa siku kila mtu anapata haki yake lakini kabla hawajafika huko walianza kuuana sana ndipo walipofikia kuheshimiana..
Huku kuna stage tumeziruka zinatutafuna ndio maana hatuheshimiani..
Mkuuu Naomba unieleweshe je,vodacom wanatoa taarifa kutokana na urafiki binafsi kwa serikali au ni takwa la kisheria?Ukinunua simcard yoyote huwa kuna kikaratasi cha maelezo, muhimu kuyasoma yale maelezo vizuri.
Vodacom ndio huwa wanaongoza kutoa mawasiliano kati yao na wateja wao kwa serikali, hili linasababishwa na urafiki uliopo kati ya Vodacom na serikali, hii mitandao mingine sijawahi kuona ikifanya hivyo.
Sio laptop mkuu ni simu mkuuinanikumbusha kisa cha Apple na Gaidi wa Alqaeda USA, laptop ilikuwa ina PIN basi CIA na FBI wakawaomba Apple waifungue hito laptop ili wanyonye taarifa zao, Apple waligoma ngoma ikaunguruma mpaka mahakamani Apple wakashinda basi ikabidi CIA na FBI watumie utundu wao kuifungua hiyo laptop japo walikuta video na picha za Porn tu....
Huku kwetu hivi vyombo TISS, Polisi, Bot nk sheria inawalinda wakitaka taarifa zako japo kuna procidure wanafuata then taarifa zinatoka kwenye mitandao ya simu na mabenki sio kiholela tu...
Bila kuiondoa ccm hakuna tutakacho kiweza ila tuweze kusonga mbele
Nakushukuru sana mkuu.CCM haiwezi kutoka kirahisi lazima kazi ifanyike na watu wasucrifice kweli...
Nyuma ya CCM kuna mengi yamejificha na ukionyeshwa basi yapo yatakuogopesha..
CCM ni mali ya watu wengi wasioonekana hawa tunaowaona ni vibaraka tu na hata wengine hawajui wanamtumikia nani....
Nakushukuru sana mkuu.
Kumbe hata haya yanayoendelea ya mh Mbowe ni mojawapo ya njia wanazokutana nazo wanao hitaji kuiondoa ccm madarakani.
Si swala kutoa tu taarifa, mitandao inawajibika kuzitunza hizo taarifa za wateja kwa miaka 5.Unayaona Leo hayo au?
Sheria zimewekwa kama utaratibu tu unavyotaka, Wanaosimamia sheria ni wale wenye Mamlaka
Katiba yetu imetoa mwanya kuna watu wapo juu ya sheria na huwezi kuwagusa
Hivi Mkurugenzi wa Voda au Tigo ana nguvu gani akitumiwa wale Jamaa, Najua unawafahamu
Maisha yako binafsi ni muhimu kuliko kukumbatia taarifa zinazohitajika na watu waliojuu ya katiba
Kwa usalama wa Taifa au nchi ukigoma kutoa taarifa kesho tunaweza tukakusindikiza kwa nyimbo za pala panda ikilia
Sheria zipo, Kuna muda lazima uangalie maisha yako
Huwezi Shindana na mtu ana Vifaru, Bunduki na Jeshi lote linamuheshimu
Mdomo na kiburi vimewagharimu watu maisha na Leo wameacha familia kisa tu kujifanya wanafuata sheria na katiba
Katiba ni karatasi tu, Wanaosimamia katiba wapo juu ya katiba
Muda wowote sheria hupindishwa au kunyooshwa kwa matakwa ya Mamlaka
Nimesikia jana kuwa kampuni moja ya simu imetoa mawasiliano ya Sabaya mahakamani.
Je, hili linatoa taswira gani kwa wateja wake?
Binafsi siijui sheria hivyo nawaomba wenye uelewa tujulishane.