Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Halafu anakuja na sababu za hovyooooo. Hiki kizazi cha JK ni taabu tubu tupu.
 
Hujaamua kuwajua ndugu zake,Wee sema tu unasafisha rungu,huna mpango nae.
 
Sijamchoka kihivyo ila kadiri navyompa uhuru pale kwangu kuna vitabia anavidevelop anaonyesha ile khali ya kwamba kafika kabisa

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Daah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma

Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka

Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
Mi aliongeza nguo na kuanza kununua baadhi ya vifaa vya jikoni kama kinu na flampeni

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Habari zenu ndugu zangu.

Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuomdoka.

Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi.
Wewe ndiye ulimkaribisha na kumfungulia milango umemtumia umemchoka, thamani yake imekwisha unamtaka aondoke. Sisi tukikushauri utatuelewa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…