Mromboo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 2,966
- 6,593
Halafu anakuja na sababu za hovyooooo. Hiki kizazi cha JK ni taabu tubu tupu.Hujui ndugu wala rafiki zake,unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi,hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa,hili nalo ni tatizo??
Kimsingi sababu zako sio za msingi...wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo