Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
🤣🤣Shangaa wewe hapo .. na wengine hawataki uwapeleke guest kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Shangaa wewe hapo .. na wengine hawataki uwapeleke guest kabisa
Ukute huyo mdada akitongozwa na wakaka wema wenye malengo naye anajibu nina mchumba wangu 😂 Evelyn SaltHuko kukaa kwako si ndio uchumba wenyewe sasa au????
Alikuwa anapata utamu ndio maana kakaa muda wote huo...ingekuwa de libolo halimkuni vizuri angesha sepa😂😂😂😂 Masikini dada wa watu
Alafu sii ajabu ukute mwanamke kwa akili zake mbovu hapo kashapiga mahesabu kuwa mjamaa anaweza nimudu mie na mtoto basi anamsusiantuu jamaa mbususu amwagie ndani ndani ndani kabisaaaaaEmbu suburi vip wewe ndoa huitaki? Hujui hata rafiki zake wewe ulimtoa wapi? Kwahiyo wiki mbili zote umemkula afu unataka sisi tukushauri vip? Wiki mbili unajilia vyako hajapata mimba?
Muhuni kashaichoka sasa anatafta namna ya kuacha goli wazi ili akamate loose ball ingine.😂😂😂We bwana we ushamtmba tmba hadi umechoka... Hapo utakuta dada wa watu alikua anapiga deki, anaosha hadi ukuta masikini
Ampige tukio ataondoka mwenyeweMkulungwa eeh! Umezingua mwana kwani wiki zote tatu hukufikiria hizo risk zote?
Wiki3 obvious umechoka same match, same styles & same pus...y
Kumbe wee unaenda ukiwa na njaa ya de libolo.[emoji23][emoji23][emoji23] safi, upuuz wa kuhamia kwa mwanaume ulishanishinda zamani.
Anaenda kufua majinzi geto kumbe mwamba hata hamuelewi....sio poa 😂Ukute huyo mdada akitongozwa na wakaka wema wenye malengo naye anajibu nina mchumba wangu 😂 Evelyn Salt
Bora wewe mi nilimuachia nauli nikskuta kanunua masufuria anapikaDaah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma
Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka
Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
Hahahahah hapo kwa Mrombo ndio mwisho wa reli Kigoma😂😂😂!!! Hata mimi huyo Mrombo nisingemuacha anauliza kwamba kwenye movie wanauana kweli? Huyo ni waifu matirio kabisakuna demu alizoea sana kuja geto kila akitoka kazini brek getoni.
na mi nikaona nishikie klach hapo hapo!!mbunye ya bure bure.
alikuwa akija kama alivyo na nguo alizotoka nazo kazini.
siku hiyo nyuma ya dressing nakuta mfuko wa TWENDE KWA SHANGAZI.
daahhh mamaee umejaa nguo zake.
sikujua zimefikaje!!na hata siku nilikuwa nikichelewa lazma anisubiri hadi nifike maana ndo funguo.
siku hiyo akinisubiri sikutokea..yule demu alilala nje asee!asubuhi nafika namkuta.
nikajua hili ninalo nikicheza hapa!
nilimtolea ule mfuko wake nikafurusha.nikafunga geto nikapotea.
daahhh ujana wote uanze mambo ya sogea tuishi.BIG NO.
ile ishu ilimuuma alipambana zaidi ya miaka 5 sasahivi amejenga kbs na kwake nimegeuza kwangu siku zingine nalala hapo na nimezaa nae...
ila kuna mdada mwingine huyu ameniweza kubabakee!
alianza kuja kuja geto nampasua..
mtoto wa kirombo alikuwa mtamu sijawahi kuona..
yaani akija anafua yaani anasafisha kila kitu afu ana aibu mshambaaa!
kila akiangalia muvi anakuuliza hivi NI KWELI WANAUANA.hahaha namwambia ni kweli ndio anaanza kulia.
huyu nimemwachia kabisa geto km kwake.na siwezi kumuacha milele
Kuna wanaume wengine tunatafuta hao wadada wa kutug'ang'ania ghetto hatuwapati mdukuzi Kunguru wa Manzese MdukuziiBora wewe mi nilimuachia nauli nikskuta kanunua masufuria anapika
Wengine wamefanikiwa kwa kuuza CV zao kwa watu sahihi. Sasa unajipeleka kwa tozi kumfulia majinzi unategemea ndoa kweli!?Tatizo mabinti wabishi sana, wanadhani kwenda kusafisha geto na kufua majinzi ndio tiketi ya ndoa.....
Wanakuwa na stress sana wanaume wanawachezea tu wao wanataka kukaa ndani angalau aitwe hata mke mchumba.Tuwaoeni jamani hawa watoto wa kike sometimes nawaonea huruma sana hawa viumbe.
Mkuu mbeya siyo mbinguni nenda kafahamike huwenda ndo mke bora,halafu huyo ni mzuri kwasababu ndugu wapo mbali,kwao ni mbali mtakuwa na uhuru.Kwa mujibu wake hana ndugu dar wazazi wake wako mbeya
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hahhaha mbona alikuweza....action was the final say kwa upande wake...Daah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma
Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka
Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
[emoji3][emoji3][emoji3]Toka vumbi la congo limezuiwa mtawafukuza sana,wengne mlikua mnabeba watatu-watatu tutasikia mengi.
🤣🤣🤣🤣🤣Daah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma
Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka
Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi