Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Kumbe wee unaenda ukiwa na njaa ya de libolo.
Kwa hiyo hapa zamani ulishawahi hamia kwa njemba eeh
Hamna mwanamke ambaye kakulia mazingira ya bongo hajawahi kwenda kulala geto kwa baasha wake iwe wiki miezi au miaka. Tena wahanga ni wale waliokulia seminary na kufua wameshafua ila humu kila mmoja anajifanya Salamander 😂😂😂!

Yote hio ni libolo fc
 
Habari zenu ndugu zangu.

Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuondoka.

Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi. Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
  • Sijui anapoishi.
  • Ni mjasiriamali hana address.
  • Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
probably hukumwambia kuwa yeye ni mpenzi tu na siyo mchumba
 
Hamna mwanamke ambaye kakulia mazingira ya bongo hajawahi kwenda kulala geto kwa baasha wake iwe wiki miezi au miaka. Tena wahanga ni wale waliokulia seminary na kufua wameshafua ila humu kila mmoja anajifanya Salamander 😂😂😂!

Yote hio ni libolo fc
Ngoja niwaite hapa ili tujue mkweli ni yupi Evelyn Salt Kelsea to yeye sophy27 @ joanah
 
Kumbe wee unaenda ukiwa na njaa ya de libolo.
Kwa hiyo hapa zamani ulishawahi hamia kwa njemba eeh
Sijawahi hamia kwa mwanaume toka naanza mahusiano niligoma hii kitu. Nikikaa sana two days naamsha.
 
Hamna mwanamke ambaye kakulia mazingira ya bongo hajawahi kwenda kulala geto kwa baasha wake iwe wiki miezi au miaka. Tena wahanga ni wale waliokulia seminary na kufua wameshafua ila humu kila mmoja anajifanya Salamander 😂😂😂!

Yote hio ni libolo fc
😂😂 2days maximum
 
Sijawahi hamia kwa mwanaume toka naanza mahusiano niligoma hii kitu. Nikikaa sana two days naamsha.
Duh...mnyanduano wa siku mbili sii unaanza wiki ukiwa upo hoi🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom