Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Embu suburi vip wewe ndoa huitaki? Hujui hata rafiki zake wewe ulimtoa wapi? Kwahiyo wiki mbili zote umemkula afu unataka sisi tukushauri vip? Wiki mbili unajilia vyako hajapata mimba?
Alafu sii ajabu ukute mwanamke kwa akili zake mbovu hapo kashapiga mahesabu kuwa mjamaa anaweza nimudu mie na mtoto basi anamsusiantuu jamaa mbususu amwagie ndani ndani ndani kabisaaaaa
 
Hahahahah hapo kwa Mrombo ndio mwisho wa reli Kigoma😂😂😂!!! Hata mimi huyo Mrombo nisingemuacha anauliza kwamba kwenye movie wanauana kweli? Huyo ni waifu matirio kabisa
 
Daah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma

Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka

Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…