Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Ni sahihi kwa mwanamke ambaye sio mchumba au mke wako kukaa kwako zaidi ya week mbili?

Hujui ndugu wala rafiki zake,unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi,hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa,hili nalo ni tatizo??

Kimsingi sababu zako sio za msingi...wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo
Mbususu imeshakuwa "used" na sasa imekuwa mtumba. Wale wapenzi wa mitumba kitu "used" kimeingizwa sokoni. Bei ni maelewano. Karibuni
 
Sio kimasihara ila ujio wake kukaa kwangu ndo umenshtua siku ya kwanza kuja gheto ndo kakaa kabisa weeek 3

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Umezidi kalenda.

Ameshakuona una plan nyingi lakini yeye hayupo kwenye plan zako hivyo kaja kukuamjnisha kuwa hana mwingine zaidi yako.

Kama unamuona ni mzigo basi sisi wazee wa mipira iliyokufa tupigie kross wala hakuna makasiriko
 
Hujui ndugu wala rafiki zake,unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi,hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa,hili nalo ni tatizo??

Kimsingi sababu zako sio za msingi...wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo
Huyu dawa kumpa odds za uongo aweke mbupu zipasuliwe atulie
 
Habari zenu ndugu zangu.

Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuomdoka.

Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi.

Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.

Sijui anapoishi.

Ni mjasiriamali hana address.

Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.

Nimefanya vibaya ndugu zangu?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Daaah, hapo ndipo nakumbuka ule msemo unaosema unachokikataa mwenzako kinamnyima usingizi,
Yaani huu ni mwezi 6 sasanaomba Mungu natamani nivute jiko(nioe) kisela tu ndoa baadaye tukisha kaa kwenye familia, wewe bahati za mtende unazikimbiza, Nishapigwa mamillioni ya posa(mahari mpaka nikakimbia wewe hautaki.
Eeeee mwenyezi Mungu hizo bahati wanazozikataa wengine nitupie basi mimi hapa
 
Habari zenu ndugu zangu.

Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuomdoka.

Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi.

Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.

Sijui anapoishi.

Ni mjasiriamali hana address.

Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.

Nimefanya vibaya ndugu zangu?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Mkisha pataga utelezi mnaanza kulinga
 
Hahahaha mkuu ukamtoaje sasa
Nilimwambia mdogo angu anakuja hana pakufikia nenda kwanza nyumbani akiondoka utarudi itakuwa sio vzr kukuona hapa na nyumbani wanajua sijaoa haitaleta picha nzuri

Akasema hutaki ndugu zako wanijue nikwambia sio mda sahihi ila watakujua

Akajishauri wee akasepa kishingo upande
 
Hujui ndugu wala rafiki zake,unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi,hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa,hili nalo ni tatizo??

Kimsingi sababu zako sio za msingi...wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo
Key word "kala mbususu kwa week tatu hadi katosheka na anataka kupata mbususu mpya"
 
Daah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma

Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka

Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nauli ililiwa kitaalamu sana na hakuondoka
 
kuna demu alizoea sana kuja geto kila akitoka kazini brek getoni.
na mi nikaona nishikie klach hapo hapo!!mbunye ya bure bure.

alikuwa akija kama alivyo na nguo alizotoka nazo kazini.
siku hiyo nyuma ya dressing nakuta mfuko wa TWENDE KWA SHANGAZI.

daahhh mamaee umejaa nguo zake.
sikujua zimefikaje!!na hata siku nilikuwa nikichelewa lazma anisubiri hadi nifike maana ndo funguo.

siku hiyo akinisubiri sikutokea..yule demu alilala nje asee!asubuhi nafika namkuta.
nikajua hili ninalo nikicheza hapa!

nilimtolea ule mfuko wake nikafurusha.nikafunga geto nikapotea.
daahhh ujana wote uanze mambo ya sogea tuishi.BIG NO.

ile ishu ilimuuma alipambana zaidi ya miaka 5 sasahivi amejenga kbs na kwake nimegeuza kwangu siku zingine nalala hapo na nimezaa nae...

ila kuna mdada mwingine huyu ameniweza kubabakee!
alianza kuja kuja geto nampasua..
mtoto wa kirombo alikuwa mtamu sijawahi kuona..
yaani akija anafua yaani anasafisha kila kitu afu ana aibu mshambaaa!

kila akiangalia muvi anakuuliza hivi NI KWELI WANAUANA.hahaha namwambia ni kweli ndio anaanza kulia.
huyu nimemwachia kabisa geto km kwake.na siwezi kumuacha milele
 
Back
Top Bottom