financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Ni mimi mkuu, nimefukuzwa na jamaa, vipi kuna hifadhi huko kwako nihamie?Hasije kuwa ni huyu mdada financial services
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mimi mkuu, nimefukuzwa na jamaa, vipi kuna hifadhi huko kwako nihamie?Hasije kuwa ni huyu mdada financial services
Nilikua naogopa kumuudh sunajua penzi likinoga kila siku vichekoSasa mbona ulikubali akae kwako hizo wiki mbili?
Maana kama siku ya kwanza tuu, ungemueleza sababu hizi unazotueleza leo angekuelewa fasta.

Mbususu imeshakuwa "used" na sasa imekuwa mtumba. Wale wapenzi wa mitumba kitu "used" kimeingizwa sokoni. Bei ni maelewano. KaribuniHujui ndugu wala rafiki zake,unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi,hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa,hili nalo ni tatizo??
Kimsingi sababu zako sio za msingi...wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo
Umezidi kalenda.Sio kimasihara ila ujio wake kukaa kwangu ndo umenshtua siku ya kwanza kuja gheto ndo kakaa kabisa weeek 3
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Huyu dawa kumpa odds za uongo aweke mbupu zipasuliwe atulieHujui ndugu wala rafiki zake,unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi,hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa,hili nalo ni tatizo??
Kimsingi sababu zako sio za msingi...wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo
Hahahaha mkuu ukamtoaje sasaDaah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma
Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka
Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
Daaah, hapo ndipo nakumbuka ule msemo unaosema unachokikataa mwenzako kinamnyima usingizi,Habari zenu ndugu zangu.
Leo jioni nimemwambia mpenzi wangu arudi kwake baada ya kukaa kwangu karibia week tatu pasipo kuonyesha dalili za kuomdoka.
Amekubali kuondoka ila kwa hasira na lawama nyingi.
Nilijitafakari nikaona nitake risk kwa sababu zifuatazo.
Simjui ndugu au rafiki yake yoyote.
Sijui anapoishi.
Ni mjasiriamali hana address.
Anaonekana kwa vyovyote vile anataka ndoa.
Nimefanya vibaya ndugu zangu?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Habari zenu ndugu zangu.

Nilimwambia mdogo angu anakuja hana pakufikia nenda kwanza nyumbani akiondoka utarudi itakuwa sio vzr kukuona hapa na nyumbani wanajua sijaoa haitaleta picha nzuriHahahaha mkuu ukamtoaje sasa
Key word "kala mbususu kwa week tatu hadi katosheka na anataka kupata mbususu mpya"Hujui ndugu wala rafiki zake,unaweza kuwajua ukitaka
Hujui anapoishi,hili nalo ni la kujua ukiamua
Anahitaji ndoa,hili nalo ni tatizo??
Kimsingi sababu zako sio za msingi...wewe sema ulimchoka tu dada wa watu baada ya kula mbususu week tatu mfululizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah haya mambo ya kukaribishwa pisi haya nilikoma
Demu alikuwa hataki kutoka nimuachia nauli nikamuelekeza funguo pa kuweka
Nikajua ataondoka kumbe kaenda kuchukua begi karudi
Sledi yake itumike kama rejea kwa mabinti ili wakiiona,kuisoma na kuielewa wakae na la kujifunza.That's hectic!Kishakula mbususu hadi amechoka.....haya mambo haya