Ni sahihi kwa mwanamke/Mke wa mtu kuanika chupi zake nje??

Naona nyumba hyo ina mabonge balaaaaaaa,matukunyema,mizigo remix.
 
Tena hao wanajiamini chupi zao safi na hazija toboka kati😀😀
Na huu ndio ukweli, mtu yeyote anaeona ukakasi kuanika chupi nje, wakati barabarani zimetundikwa, na pengine alinunua barabarani, ujue chupi yake imepoteza ubora wa awali, ivo anajificha kwenye kichaka cha maadili.
 
Mbona barabarani zipo! na huwa tunawaona mkijijaribishia barabarani!

Ooh please!hata condom zikiwa dukani mnajichagulia brand bila shida yoyote lakini ukikuta imetupwa randomly njiani iwe used ama unused haionekani kama ni ustaarabu
 
Unatakiwa kuangalia sehemu iliyojificha penye mwanga wa jua wa kutosha na si sehemu ya wazi namna hiyo
 
Ni sahihi kabisa maana wanawake wengi wanapata infection kwa kuogopa kuanika chupi kwenye mwanga wa jua na hili linapelekea bacteria kuzaliana na kuwasababishia matatizo makubwa.
Nguo za ndani zinahitaji zianikwe kwenye mwanga kwa afya
 
Mbona barabarani zipo! na huwa tunawaona mkijijaribishia barabarani!
Zile zinazouzwa barabarani bado mpya hazina shida. Hizi zinazoanikwa ni used na zimeshakuwa za kahawia pale kwenye 'Area kibrosa' na nyingine zimetoboka katikati kutokana na hekaheka zinazokutana nazo kila siku. Hivyo wengine hatupendi kuziona.
 
Ulitaka waanike sebuleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale wanaoziuza nao madukani nao wazifunike na nini manake hakijabadilika kitu hapo

Sent using Jamii Forums mobile app


Zile zinakuwa hazina mwenyewe na wala hazijavaliwa na mtu!

Lakini hizi za kuziona mtaani majumbani maana yake inajulikana zinavaliwa na nani !

Nguo za siri huvaliwa sirini na zinaficha sehemu za sirini ambazo kimaumbile zimefichwa kuwa siri !


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…