Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,391
- 21,045
😂😂😂 vyupi zinapunga hewa, ila kuna watu wanamiili bhana chupi kubwa utazani zile za wanamieleka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chupi Ni nguo Kama nguo zingine, na Kuna faida nyingi Sana za kuanika chupi nje.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee ukitaka wakomesha chukua siku alafu zipake pilipili pale penye utamu unapokaaHapa ninapoishi kuna wamama wanne wameolewa
Hawa wamama na wadogo zao wa kike full kuanika chupi zao nje tena njia ya kwenda toilet ni kama mashindano hivi ya kuanika chupi
Je ni sahihi kweli kwa mke wa mtu au mwanamke wa Kitanzania/kiafrica kuanika chupi zake nje tena sehemu ya wazi kabisa
Kama hivi[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1377581View attachment 1377583
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unataka waanike ndani ili waliwe na fungus?!
Hapana sio kweli, nadhani kuna aliyejibu vizuri. Wamama mara nyingi kiafya tunashauriwa kuanika chupi nje kwenye jua ili kuua bacteria.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiustaarabu/kiheshima sio sahihi
Lakini kiafya ni sahihi
Kwa rationality utafuata ki afya au kiheshima ya kinafki alafu upate infection? Joanah
Naona mmeenda mbali sasa. Yaani chupi na umalaya wapi na wapi?? Mnataka kusema kuwa ukiona chupi umeona somethingi yake?? Mbona watu tunakuwa washamba hivyo?? Ondoeni mawazo maovu muwe na mawazo safi.Ila mwanamke anaeyanika nguo za ndani nje kama ivo ana element za umalaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ninapoishi kuna wamama wanne wameolewa
Hawa wamama na wadogo zao wa kike full kuanika chupi zao nje tena njia ya kwenda toilet ni kama mashindano hivi ya kuanika chupi
Je ni sahihi kweli kwa mke wa mtu au mwanamke wa Kitanzania/kiafrica kuanika chupi zake nje tena sehemu ya wazi kabisa
Kama hivi[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1377581View attachment 1377583
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] dah!! Nilikuwa staki kukoment ila kwa post hii!![emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo chupi ya blue na ya pili yake naona kubwa kweli kweli. Huyo aliye anika atakua na mzigo mkubwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba ni nguo isiyo ya kawaida ati ni nguo ya maajabu?Mimi sichukulii kama nguo ya kawaida
Kwa rationality utafuata ki afya au kiheshima ya kinafki alafu upate infection? Joanah
Ndio maana ikaitwa nguo ya ndani huwez kuiweka nje. Kama sio ushamba nenda kaanike ukweni uoneNaona mmeenda mbali sasa. Yaani chupi na umalaya wapi na wapi?? Mnataka kusema kuwa ukiona chupi umeona somethingi yake?? Mbona watu tunakuwa washamba hivyo?? Ondoeni mawazo maovu muwe na mawazo safi.
Kuna faida kubwa kuanika juani chupi yako. Joto la jua linaua bacteria wengi sana. Pia kama kuna uwezekano piga pasi chupi yako. Wengi hupatwa na fangasi kwa sababu hupigi pasi.
Chupi nyingi za kike ni so delicate kwamba ukipiga pasi zinaungua au kukatika kabisa so joto pekee ni la jua. Umewahi kuliwa na "Mapunye"? Wadudu hai watokanao na nzi?? Acheni mawazo mabaya nyie
Kwamba ni nguo isiyo ya kawaida ati ni nguo ya maajabu?