Ni sahihi kwa mwanamke/Mke wa mtu kuanika chupi zake nje??

Hapa ninapoishi kuna wamama wanne wameolewa

Hawa wamama na wadogo zao wa kike full kuanika chupi zao nje tena njia ya kwenda toilet ni kama mashindano hivi ya kuanika chupi

Je ni sahihi kweli kwa mke wa mtu au mwanamke wa Kitanzania/kiafrica kuanika chupi zake nje tena sehemu ya wazi kabisa

Kama hivi[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1377581View attachment 1377583

Sent using Jamii Forums mobile app

Je nayo ni sahihi kupiga picha chupi za wake za watu na kuzileta kwenye kadamnasi kama hii ya jf.??!!
 
Mbona ni sahihi tu, mi naanika tena nyingi zimetoboka atakae mind kimpango wake kwio zake [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
Kwio zakwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
Msome huyu
Hapa ninapoishi kuna wamama wanne wameolewa

Hawa wamama na wadogo zao wa kike full kuanika chupi zao nje tena njia ya kwenda toilet ni kama mashindano hivi ya kuanika chupi

Je ni sahihi kweli kwa mke wa mtu au mwanamke wa Kitanzania/kiafrica kuanika chupi zake nje tena sehemu ya wazi kabisa

Kama hivi[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1377581View attachment 1377583

Sent using Jamii Forums mobile app
Nina ugonjwa wa kuiba chupi za wanawake

Ni sahihi kabisaaa, nkiziona huwa zinanitia hamasa.
 
Kama dukani zinauzwa hadharani basi hata kuanika hadharani hamna shida. Kama usafi unakusumbua anika ndani
Ni nguo za kawaida kama vest, soksi, etc
 
IMG_20200306_151318.jpg

Ata mimi hapa jiran yangu ana anika ila yeye anaanika mpya mpya zile za matobo kati anaanikia ghetto kwake
 
Hapa ninapoishi kuna wamama wanne wameolewa

Hawa wamama na wadogo zao wa kike full kuanika chupi zao nje tena njia ya kwenda toilet ni kama mashindano hivi ya kuanika chupi

Je ni sahihi kweli kwa mke wa mtu au mwanamke wa Kitanzania/kiafrica kuanika chupi zake nje tena sehemu ya wazi kabisa

Kama hivi[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1377581View attachment 1377583

Sent using Jamii Forums mobile app

hao nao ni wachafu mno, zote hizo zinalundikwa wapi mpaka zifuliwe siku moja?
 
Back
Top Bottom