Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
😀😀😀😀Iba tatu kazifiche chooni...au tumbukiza chooni , , , , alafu zungumzia habari za kulogwa ...nakuhakiishia hawatoanika tena ....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀Iba tatu kazifiche chooni...au tumbukiza chooni , , , , alafu zungumzia habari za kulogwa ...nakuhakiishia hawatoanika tena ....
Kwahiyo Ww ni mstaarabu au bibi afya??Kiustaarabu/kiheshima sio sahihi
Lakini kiafya ni sahihi
Hiyo chupi ya blue na ya pili yake naona kubwa kweli kweli. Huyo aliye anika atakua na mzigo mkubwa sana.Hapa ninapoishi kuna wamama wanne wameolewa
Hawa wamama na wadogo zao wa kike full kuanika chupi zao nje tena njia ya kwenda toilet ni kama mashindano hivi ya kuanika chupi
Je ni sahihi kweli kwa mke wa mtu au mwanamke wa Kitanzania/kiafrica kuanika chupi zake nje tena sehemu ya wazi kabisa
Kama hivi[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1377581View attachment 1377583
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sio kweli, nadhani kuna aliyejibu vizuri. Wamama mara nyingi kiafya tunashauriwa kuanika chupi nje kwenye jua ili kuua bacteria.Ila mwanamke anaeyanika nguo za ndani nje kama ivo ana element za umalaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mwanamke anaependa kuonesha nguo zake za ndani, ni mazingira huwalazimisha. Uanikaji ndani hazikauki na kuleta madhara ya kuvaa nguo mbichi. Hivyo hulazimika kuzianika juani ili zikauke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chupi Ni nguo Kama nguo zingine, na Kuna faida nyingi Sana za kuanika chupi nje.
Sent using Jamii Forums mobile app