Ni Sahihi kwa mwanaume kuoa Hali ya kuwa ndani Hana assets yoyote?

Ni Sahihi kwa mwanaume kuoa Hali ya kuwa ndani Hana assets yoyote?

Wakuu ni Sahihi kwa mwanaume kuoa Hali ya kuwa ndani Hana assets yoyote?

Huna godoro
Huna kitanda
Huna vyombo

Ila una mahali tu ya kuoa let's say 1m
Ni Sahihi kuoa then after asset utafute mkeo akiwa ndani??

Na mke amekubali na ameomba umuoe hivyo hivyo atalala chini hakuna shida??

Emu tumieni busara sana katika Hili.
Huyo amekubali sababu ya mihemko ya kupigwa mb......o akisha tosheka ña kukinai sasa stress atazokupa utatamani ukufeee...
 
Mtego huo Mkuu,

Wanawake wanaendeshwa na hisia huyo mwanamke hajui anachoongea ni hisia tu za kipindi kifupi ndio zinampelekesha hisia zikikata atabadilika kuwa jehanamu yako.

ji search kwanza mkuu, tena tune kwenye ile auto search lakini usiingie kwenye huo mtegoooh.
 
Back
Top Bottom