Ni Sahihi kwa mwanaume kuoa Hali ya kuwa ndani Hana assets yoyote?

Yaani uchukue milioni upelekee watu wakati kwako huna hata sofa? Waza sawasawa
 
Kama umri wako umeenda Sana(zaidi ya 35) oa tuu lkn Kama umri wako bado subiri
 
Mkuu hivyo ulivyo vitaja ni mahitaji ya muhimu kwenye maisha ya kila siku ya mwanadamu na sio aset
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…