Ni sahihi kwa Rais Biden kutojibu maswali ama kukataa kutoa hotuba kwasababu ya afya mbovu?

Ni sahihi kwa Rais Biden kutojibu maswali ama kukataa kutoa hotuba kwasababu ya afya mbovu?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Imekuwa ni kawaida sana tangu Biden aingie madarakani huwa hajibu maswali ya kwenye presss na hakuna accountability anayohukua.

Pia kufanya speech imekuwa mtihani kwake, hasa pale mazingira yanapokuwa sio rafiki kwa kutumia teleprompter, mfano hapo 9/11 alienda zima moto, pentagon na pennyslvenia lakini hakufanya speech, ni Trump pekee aliefanya speech ofisi za zimaoto na kupata support kubwa.

Hii hali imechochea hata channel ya ikulu ya yputube kutopata watazamaji na hata wakwemo basi huwa wana dislike video.

Ni dhahiri haya yote ni kwajili ya afya mbovu ya Biden

1631792125218.png
 
Back
Top Bottom