Ni sahihi kwa vyombo vya dola kuingia kuyapekua maisha na mapato ya Juma Jux

Ni sahihi kwa vyombo vya dola kuingia kuyapekua maisha na mapato ya Juma Jux

Jana umekesha kwenye pombe?
Unafikiri mimi ndiyo yule tena wa kukesha kwenye pombe? Nyumbani nina bar ina kila kinywaji cha dunia hii. Sina hata muda navyo. Niko level nyingine wewe dogo. Acha wivu fanya kazi upate pesa. Usipokuwa na pesa unakuwa busy kushangaa wengine na kuanzisha nyuzi za hovyo kama hizi.
 
Dogo Ana chuki kubwa moyoni Mkuu n hajji kuishi na watu vizuri
 
Jux anakula mali za urithi,baba yake ndio alikuwa muuza unga
 
Mzee wake alimuandalia maisha, unaacha kuandaa life la wanao unakuja kuwasema vibaya watoto wa wenzio.

Kamuulize mzee wako wakati mzee wa Jux anazisaka yeye alikua wapi na anafanya nini.
 
Nadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.

Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria aliyekamatwa Dubai na viroba vya unga.

Hiyo private jet ilikaguliwa kiasi gani pale uwanja wa ndege? Moja kati ya mbinu zinazotumika na hawa jamaa ni kujaza mastaa katika jambo lao ili kuepusha ukaguzi mkali.

I smell a rotten rat. Tena route unaenda Naijeria kwa mafias. I insist, I smell a rat.
Hili NDINA muda wote liko humu kusema 'mitano Tena' wakati wanaume wakipambana kusaka hela, wanapoanza kula matunda ya jasho lao, linainua vikwazo...Nenda kale maisha Lumumba, eboo!
 
Wameaxha kale ka wazuri ka mshiko kanafuta haki za watumishi bila hata kuulizwa,imagine ndani ya mwezi wa nne kamelazimisha kifuta haki za watumishi wote bara sijui kanafanya kwa maagizo yule bibi wa Upande wa mtawala wetu Zanzibar,hivi mnajua sisi ni koloni la Zanzibar.Hivi mnajua mwgr anakopa.pesa Tena huko Ufaranza wakati barabara zote zimejaa mashimo. TanzaZamRoad imeteoekezwa kabisa.Kweli.mnamchunguza Juzi tunaacha kuulizwa haki za watumishi kuporwa kila kitu na mwigulu.
Mabwakuuu.
 
Back
Top Bottom