Katafute pesa. Wivu utakuua. Yaani MTU ateseke kutafuta pesa akipata ale unachukia? Unataka akifa akuachie wewe urithi. Kafanye KAZI. Watu tumesota tuna pesa za kutosha ni vile hatuko huko media. Jux cha mtoto. Kwenda huko. Yaani Mimi
Zogwale ni mkongwe hapa JF nina miaka 17 hapa jukwaani na umri wangu si wa kitoto kama wewe. Yaani nimesha hustle sasa naenda vacation kila nchi na wife. Halafu Leo livivu fulani liulize nimepataje fedha. Acheni utani wa Maisha.
Huyu Bwana ndogo Jux ameweka mpaka kwenye maduka ya Nguo #AgricanBoy kama sikosei na vingine vingi tu.
Nikuambie kuwa ukiwekeza fedha UTT Liquid funds tu kama 400m ndani ya miaka 5 unapata faida ya zaidi ya 300m. Ukiwekeza Bonds ya 25 years say 400m hukosi zaidi ya 36m kila baada ya miezi 6. Hizo ni investments tu ambazo hazina pressure.
Tafuta pesa mtoto.