KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Mh! mbona hili zito...🤣Inasemekana alikuwa na mahusiano na mwanaume wa kiarabu mwenye mawe ya kutosha
Labda alijipata kupitia huyo
Mh! mbona hili zito...🤣Inasemekana alikuwa na mahusiano na mwanaume wa kiarabu mwenye mawe ya kutosha
Labda alijipata kupitia huyo
😀😀😀hivyo ndivyo wanavyowaza. Bora tuendelee kuwajuaWewe unataka Maisha mazuri waishi jamaa zako tu wa CCM unaowalamba miguu!
Acha ushamba wa Maisha na fikra za kifukara.
Mh! mbona hili zito...🤣
Braza leo utakula mvua za mawe mpaka ujute😀😀Haihusiani
Sio yule mzubgu meneja wa hoteli kubwa hapo.daslamu?Inasemekana alikuwa na mahusiano na mwanaume wa kiarabu mwenye mawe ya kutosha
Labda alijipata kupitia huyo
Sio yule mzubgu meneja wa hoteli kubwa hapo.daslamu?
Mi sina usemi aisee...Inasemekana,inaweza kuwa maneno ya mtandaoni tu
Kuna huyu Jux,Ommy Dimpoz na msanii mwingine nimemsahau jina nao kashfa ni kama hii
Kama ana kadi ya chama na ana single moja ya kinaijeria ya kuachia uchaguzi huu wa mama, hilo sahauLegally, state authorities have the right to investigate anyone’s lifestyle and income, including Juma Jux, if there is reasonable suspicion,such as allegations of economic crimes or unexplained wealth. However, such investigations must follow due legal process and respect fundamental rights like privacy and human dignity.
Jukusi nae ana hela za kuogopesha taifa, km ambavyo mnasema hapa?Unataka apekuliwe leo kisa bata unazoziona!!!
Uliwahi ona wapi pesa ya biashara haramu inaliwa bata hadharani?
Tatzo la wabongo wepesi kumjudge mtu kwa kile wanachokiona.
Jux anazo hela kitambo so kama kumpekua ilitakiwa apekuliwe kwanza babaake au kama jux mwenyewe basi angepekuliwa kuanzia 2010 huko.
Kiufupi washachelewa kumpekua kama ni magendo ashapiga sana na pesa kaitakatisha so saivi anaila tu
Abdul ndio naniVyombo vya Dola vianze na Abdul kwanza
Huyu Hana rinda lolote chief
Muandika uzi kama ana marinda tushukuru Mungu, hizi ni tabia za kishoga sana
Mafisadi wamejaa wanaachwa wanataka mtu aliyejipambania kwa jasho lake.Jukusi nae ana hela za kuogopesha taifa, km ambavyo mnasema hapa?
Em waja mtupumzishe bas. Lol
Yaan mkurugenzi wa Hyatt ampe mawe huyo juksi ya kiasi hiko? African boy enyewe aliwaanzishia yeye na mke mwenzie mpemba, walipo sanukiana ikawa hae hae, japo kaitutumua.Inasemekana alikuwa na mahusiano na mwanaume wa kiarabu mwenye mawe ya kutosha
Labda alijipata kupitia huyo
Nakuona ukienda kutoa ushahidi na pingu mkononi 😁😁Yaan mkurugenzi wa Hyatt ampe mawe huyo juksi ya kiasi hiko? African boy enyewe aliwaanzishia yeye na mke mwenzie mpemba, walipo sanukiana ikawa hae hae, japo kaitutumua.
Bhana wee anauza Sembe, nani hajui, Jackie kilimlamba, hana hamu kabisa, vee mwanzoni akabebeshwa akasanuka akaacha, Karen alipoambiwa pesa zinatafutwa hivi, akachomoa, 😂😂😂😂
Huyu mpopo ndo wamekutana sasa pipa na mfuniko, c unajua wapopo kwa deals haramu ni humu tyuuh. Lol
😂😂😂😂😂
Ommy tumuache, tutamjadili siku ingine.