Ni sahihi kwa vyombo vya dola kuingia kuyapekua maisha na mapato ya Juma Jux

Ni sahihi kwa vyombo vya dola kuingia kuyapekua maisha na mapato ya Juma Jux

Nadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.

Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria aliyekamatwa Dubai na viroba vya unga.

Hiyo private jet ilikaguliwa kiasi gani pale uwanja wa ndege? Moja kati ya mbinu zinazotumika na hawa jamaa ni kujaza mastaa katika jambo lao ili kuepusha ukaguzi mkali.

I smell a rotten rat. Tena route unaenda Naijeria kwa mafias. I insist, I smell a rat.
Huna tofauti na yule lofa mwenzio aliyesema kila lakini ya simu itozwe buku kwa mwezi
 
Jux anapata pesa via streaming ,yupo kwenye top artists ambao wanaoingiza maokoto kwenye digital platforms.

Pili harusi hizi wanachangiana sana ,wewe unafikiri kina mondi ,keikei ,rizi1 ,wewe unafikiri alipoenda kumtembelea kikwete alienda kufanya nini? Alienda kukusanya michango ya harusi......Unafikiri Jeikei katoa laki ya double? Hao waheshimiwa wanatoa mzigo wa maana 20m.
 
Hii post imejaa assumptions tu, hovyo kabisa, hovyo sana
 
Yaan mkurugenzi wa Hyatt ampe mawe huyo juksi ya kiasi hiko? African boy enyewe aliwaanzishia yeye na mke mwenzie mpemba, walipo sanukiana ikawa hae hae, japo kaitutumua.

Bhana wee anauza Sembe, nani hajui, Jackie kilimlamba, hana hamu kabisa, vee mwanzoni akabebeshwa akasanuka akaacha, Karen alipoambiwa pesa zinatafutwa hivi, akachomoa, 😂😂😂😂

Huyu mpopo ndo wamekutana sasa pipa na mfuniko, c unajua wapopo kwa deals haramu ni humu tyuuh. Lol
😂😂😂😂😂

Ommy tumuache, tutamjadili siku ingine.
Umeyamwaga uduguu pwaah..!!

Huyo jukux mbeba dona na mpz wake Jackpot bingo alivyodakwa akabaki yeye anaendeleza biz ila kwa password mana tanipoo walikuwa na wenge nae..!! Ndo visenti vingine kuvikimbizia kwa dada yake jiwe la kuvunjia milango naye kujifanya anauza mturuki og.

Huyo chuku emeka ndo penyewe papa wake ndo god father wa hizo mbanga..!!
 
Nadhani ni muda sahihi kwa vyombo vya dola kuanza kuogelea kina kirefu kuyachimba maisha ya Juma Jux, msanii ambaye siku za hivi karibuni maisha yake yanaonyesha anasa kuu kuliko hata za mabilionea wengi Afrika.

Inawezekana kuna biashara chafu iko nyuma ya pazia kama ya yule mbaijeria aliyekamatwa Dubai na viroba vya unga.

Hiyo private jet ilikaguliwa kiasi gani pale uwanja wa ndege? Moja kati ya mbinu zinazotumika na hawa jamaa ni kujaza mastaa katika jambo lao ili kuepusha ukaguzi mkali.

I smell a rotten rat. Tena route unaenda Naijeria kwa mafias. I insist, I smell a rat.
Si tulikubaliana vyombo vya Dora kazi yake ni Moja tu kushgulikia CHADEMA? sasa unataka vyombo Gani Tena?
 
Hawezi kukuonyesha jinsi anavyoingiza pesa maana utajiri ni siri ,ila kijana ana bizness ambazo zinamuingizia pesa tofauti na TAPELI Chifu GUDILAVU.
Tapeli nae anatumia akili kwa uzembe wenu wa kutokufikiri ila kustream nyimbo za jux tu anavuta mkwanja mrefu sio? Hmmm ngumu kukuelewa
 
Back
Top Bottom