Ni sahihi kwa vyombo vya dola kuingia kuyapekua maisha na mapato ya Juma Jux

Jana umekesha kwenye pombe?
Unafikiri mimi ndiyo yule tena wa kukesha kwenye pombe? Nyumbani nina bar ina kila kinywaji cha dunia hii. Sina hata muda navyo. Niko level nyingine wewe dogo. Acha wivu fanya kazi upate pesa. Usipokuwa na pesa unakuwa busy kushangaa wengine na kuanzisha nyuzi za hovyo kama hizi.
 
Dogo Ana chuki kubwa moyoni Mkuu n hajji kuishi na watu vizuri
 
Jux anakula mali za urithi,baba yake ndio alikuwa muuza unga
 
Mzee wake alimuandalia maisha, unaacha kuandaa life la wanao unakuja kuwasema vibaya watoto wa wenzio.

Kamuulize mzee wako wakati mzee wa Jux anazisaka yeye alikua wapi na anafanya nini.
 
Hili NDINA muda wote liko humu kusema 'mitano Tena' wakati wanaume wakipambana kusaka hela, wanapoanza kula matunda ya jasho lao, linainua vikwazo...Nenda kale maisha Lumumba, eboo!
 
Mabwakuuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…