Ni sahihi kwa wanandoa kupangiana ratiba ya kufanya tendo la ndoa?

Ni sahihi kwa wanandoa kupangiana ratiba ya kufanya tendo la ndoa?

Ni sahihi kwa wanandoa kupangiana ratiba ya kufanya tendo la ndoa?
Hivi hata hizo kitchen party huwa zinawasaidia nini?

1 Kor 7:4-5​

Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe. Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu.
 
Hisia na hamu ni kitu cha kuwekeana ratiba tena kwa mwenza wako?

Excuse zinakubalika kama mwenzako ana hali itakayomsababishia kushindwa kufurahia. Mfano ugonjwa na uchovu uliopitiliza.

Lakini si jambo la kupanga ratiba hata kidogo. Ni muda wowote mtakapojisikia.
 
Hahaha aya bwana kwa kweli hisia hazina muda na tena ile tamu unapishana na bby ah katingisha tako umemrukia
🤣🤣🤣 ratiba haiwezekani kabisa vikitaka kucheza ni viachwe tu vichezeane hakuna namna.
 
Back
Top Bottom