Hayo ni kwa ajili ya mimea na wanyama p. yetu binaadam yanatakiwa yatoke ardhini kwenye miamba.
Rejea maandiko ya dini.. hakuna nabii aliyeomba maji ya kunywa akashushiwa mvua ila walipatiwa chem chem na visima tuu, jiulize why.? Kwa mara ya pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mm ninachojua hayana chumvi wala magadi ni maji ambayo hayajagusa laana ya ardhi ukinywa ni burudani kabsaaaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
na ww unasema kuwa ni salam kwani hayajagusa ardhi hivyo hayana laana mnanipa mchanganyo kidogo ktk hili...... lipi ni sahihi kati ya haya wakuu???Hayo ni kwa ajili ya mimea na wanyama p. yetu binaadam yanatakiwa yatoke ardhini kwenye miamba.
Rejea maandiko ya dini.. hakuna nabii aliyeomba maji ya kunywa akashushiwa mvua ila walipatiwa chem chem na visima tuu, jiulize why.? Kwa mara ya pili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ya mvua sio salama sana kama watu wanavofikiri kwa sababu;Kumekua na deaturi ya watu wengi kukinga maji ya mvua pindi mvua inyeshapo, na kufanya kama maji ya kunywa bila kuzingatia usalama wowote wala tahadahari. Mfano labda kuchemsha au kuweka dawa ya maji ili yawe salama zaidi...mie mwenyewe ni muhanga wa hiki kitu... SWALI.. je MAJI HAYO NI SALAMA KAMA TUNAVYODHANI AU KUNA MADHARA YOYOTE TUNAWEZA KUPATA KWA KUTUMIA MAJI YA MVUA?!
Hayana madhara yakiwa fresh ila ukiyahifadhi bila cloride kwa wiki mbili au zaidi yanaanza kuteleza.Kwahiyo km hayana chloride ni salama kwa kunywa au sio salama nifafanulie wengine hatuelewi mkuu
Maji ya mvua sio salama sana kama watu wanavofikiri kwa sababu;
Moja ni uchafuzi wa mazingira unaoendelea ambapo kuna dust particles either from burning fuels or any other air pollution from industrial emmitted gases zinakua around the atmosphere which contaminate the rain drops as the result maji yanakua sio salama kwa kunywa.. kuna gases nyingine zikiyeyuka kwenye maji ni inivisible but very harfmful to human health.
Pili tunaangalia kitu kinaitwa catchment.. apa catchment tunazungumzia pale ambapo matone ya mvua hutua yakitokea juu..mfano bati tukiongelea katika mazingira ya nyumba. Bati unakuta lina kutu, vumbi na matakataka mengi, mengine majani ya miti ambayo yanaweza kua makazi pia ya vimelea magonjwa hivyo maji yanakua sio salama.
Sasa tunafanyaje ili tupunguze contamination ya haya maji?
Moja ni kuhakikisha bati linakua halina kutu maana kama tunavojua chuma chochote hakitakiwi kwenye mwili wa binadamu.
Mbili, mabati wandugu yasifishwe kabla ya kuvuna maji hasa wale ambao mabati yao yanakua na majani kutokana na mti kua juu ya mabati..
Tatu, mvua kinyesha usikimbilie kukinga maji, subiri kidogo ili maji yalisafishe bati na baada ya muda kidogo ndo ukinge..
Nne, maji ya mvua yanatakiwa kua treated kwa either kuchemsha nyuzi joto 100°C au kuweka chorine kuua vimelea vyovote vya magonjwa.
Nb: Maji ukiyaona ni safi haina maana ni salama kwa kunywa.. kwaio ni vizuri yawe treated ili yawe salama.
Asante!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayana madhara yakiwa fresh ila ukiyahifadhi bila cloride kwa wiki mbili au zaidi yanaanza kuteleza.
hayo maji yana acid but ni weak acid, shuhuli za uchafuzi mazingira kama uchomaji taka, viwanda, vumbi na moshi linalopanda juu hushushwa na mvua ...hivyo si salama kwa kunywa
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio, mvua inaponyesha inashuka na baadhi ya uchafu uliotanda chini ya angaEh kwahiyo tuyaache kuyanywa sasa mkuu km ni hivyo ni hatari kwahiyo unataka kusema hizo chemically ndio zinashushwa kwa mvua kurudi ardhini?
Wanasema siyo madhur kwa kunywa lkn n sababu ya mabatiHapana ni kwa msimu mkuu..
Kumekua na deaturi ya watu wengi kukinga maji ya mvua pindi mvua inyeshapo, na kufanya kama maji ya kunywa bila kuzingatia usalama wowote wala tahadahari. Mfano labda kuchemsha au kuweka dawa ya maji ili yawe salama zaidi...mie mwenyewe ni muhanga wa hiki kitu... SWALI.. je MAJI HAYO NI SALAMA KAMA TUNAVYODHANI AU KUNA MADHARA YOYOTE TUNAWEZA KUPATA KWA KUTUMIA MAJI YA MVUA?!