Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nampongeza Mhe. Rais Kwa ukali anaouonyesha Kwa vitendo na kwakuzingatia ethics za utumishi na Mila zetu.
Ila napata wasiwasi pale ambapo Makatibu wakuu waliochemsha wanapopewa nafasi yakujibu tena hoja; NI approach nzuri hasa Kwa wanaoamini kama Mimi kwamba report ya CAG imejaa Sana hoja za NON compliance kuliko hoja za wizi. Ila nivigumu kuamini kueleweka Kwa wale wanaoamini kilichoelezwa kwenye ripoti Ile NI wizi.
Kwa Mimi ninayeamini kwamba report hii ya CAG Kwa maeneo mengi inaripoti non compliance means KM wanaweza kupangua hoja Kwa kuwasilisha vielelezo muhimu au kuboresha michakato Yao ya kutoa huduma.
Kwa wale wanaoamini upo wizi nivigumu kuamini kwamba KMs wanaweza kukamatwa wezi waliopo chini Yao Kwa Sababu taarifa za wezi hao zilipatikana wakati wa exit meetings za kisekta.
Nani kulifumbua fumbo kubwa hivi?