Ni Sahihi Makonda kufanya Promo tangazo la Fiesta?

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Nimemuona Rc wa DSM, Ndugu Makonda akihamasisha Fiesta na kulifanyia promotion.

Je ni sahihi viongozi wa kisiasa kutumika kwenye matangazo ya biashara ya makampuni binafsi?

Sio Makonda pekee, hata Wakuu wa mikoa mingine, ma RPC nimeona wakifanya hivi.

Hii imekaajee??
 
Hahaha huyu hapendwi, akifanya promo hatuendi. Promo awaachie kina Kajala, shishi baby na kina Hamisa Mabeto.
Usiwe na wasiwasi aki promote yeye hatuendi.
 
Kwani tangazo kama hili malipo yake ni binafsi au ya ofisi ya RC
 
Mkuu General Mango, hii imekaa vizuri, iko poa na ni sahihi kabisa.

Tamasha la fiesta lina pande 3,
The Bussiness aspect, Clouds wanafanya biashara na kuvuta mpunga mnene.
The Social aspect, watu wanaburidika kwa kuenjoy na ku relax, hivyo kufurahi na kupata ustawi.
The Interprenaship, hii wanafundisha kuchangamkia fursa, hivyo kutoa ajira na kupunguza unemployment na vibaka.

Hayo ni miongoni mwa majukumu ya viongozi wote kuyapromoti.
P
 
Mwaka jana alijaribu kulibania Mwenye Nchi akaamuru likeshe mpaka akienda Kanisani Asubuhi akutane Na vijana ndio wanarejea home

Kwa Muda kawakana kina Diamond wanaofanya Tamasha Kama hilo tarehe hiyo hiyo
Anaetaka kufanya research ya Unafiki Na Usaliti afanye kwny Siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…