Ni Sahihi Makonda kufanya Promo tangazo la Fiesta?

Mkuu General Mango, hii imekaa vizuri, iko poa na ni sahihi kabisa.

Tamasha la fiesta lina pande 3,
The Bussiness aspect, Clouds wanafanya biashara na kuvuta mpunga mnene.
The Social aspect, watu wanaburidika kwa kuenjoy na ku relax, hivyo kufurahi na kupata ustawi.
The Interprenaship, hii wanafundisha kuchangamkia fursa, hivyo kutoa ajira na kupunguza unemployment na vibaka.

Hayo ni miongoni mwa majukumu ya viongozi wote kuyapromoti.
P
Sawa mkuu,
Lakini Je, kuna hitaji viongozi wa serikali kufanya promo?
Bila wao Fiesta haitakuwa poa?

Au viongozi hutumia tamasha hili kujikuza kisiasa?

Au wana interest ya 10% ya mapato ya fiesta?
 
Mawingu wameamua kushirikiana na mvaamizi wao waziwazi? Kwa kweli WCB wawape poo kidogo wenzao, hii kamata mwizi ni hatari, tukutane NANGWANDA, tukaijaze NANGWANDA.
 
Huyu jamaa ni shoga kwahiyo kitu chochote akifanya ni sawa tu.
 
Sawa mkuu,
Lakini Je, kuna hitaji viongozi wa serikali kufanya promo?
Bila wao Fiesta haitakuwa poa?

Au viongozi hutumia tamasha hili kujikuza kisiasa?

Au wana interest ya 10% ya mapato ya fiesta?
Hahaha wakifanya wao haina shida, wakifanya chadema au wapinzani wao utasikia mwisho saa 5:59 usiku. Clouds waliwahi kuambiwa hakuna kukesha, ikulu ikajibu kesheni.
 
I
Mkuu General Mango, hii imekaa vizuri, iko poa na ni sahihi kabisa.

Tamasha la fiesta lina pande 3,
The Bussiness aspect, Clouds wanafanya biashara na kuvuta mpunga mnene.
The Social aspect, watu wanaburidika kwa kuenjoy na ku relax, hivyo kufurahi na kupata ustawi.
The Interprenaship, hii wanafundisha kuchangamkia fursa, hivyo kutoa ajira na kupunguza unemployment na vibaka.

Hayo ni miongoni mwa majukumu ya viongozi wote kuyapromoti.
P
Hakuna namna bora kuelewa tu hata visivyoeleweka aka MATAGA
 
chochote anachofanya mwana mfalme ni sahihi hata akiamu kupiga mtu hadharani risasi pla posta ni sahihi
 
Back
Top Bottom