Hahaha matusi ya nini sasa, wewe siuende tu.Pumbavu zenu. Sasa unafikiri Fiesta ndio itakosa watu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha matusi ya nini sasa, wewe siuende tu.Pumbavu zenu. Sasa unafikiri Fiesta ndio itakosa watu?
Huendi wewe na nani?
Sawa mkuu,Mkuu General Mango, hii imekaa vizuri, iko poa na ni sahihi kabisa.
Tamasha la fiesta lina pande 3,
The Bussiness aspect, Clouds wanafanya biashara na kuvuta mpunga mnene.
The Social aspect, watu wanaburidika kwa kuenjoy na ku relax, hivyo kufurahi na kupata ustawi.
The Interprenaship, hii wanafundisha kuchangamkia fursa, hivyo kutoa ajira na kupunguza unemployment na vibaka.
Hayo ni miongoni mwa majukumu ya viongozi wote kuyapromoti.
P
Anaetaka kufanya research ya Unafiki Na Usaliti afanye kwny Siasa
Na n'takwenda kweli, unafikiri utani?Hahaha matusi ya nini sasa, wewe siuende tu.
Hahaha ndio uende tu, hakuna aliyekukataza.Na n'takwenda kweli, unafikiri utani?
Ok.Hahaha ndio uende tu, hakuna aliyekukataza.
Hahaha wakifanya wao haina shida, wakifanya chadema au wapinzani wao utasikia mwisho saa 5:59 usiku. Clouds waliwahi kuambiwa hakuna kukesha, ikulu ikajibu kesheni.Sawa mkuu,
Lakini Je, kuna hitaji viongozi wa serikali kufanya promo?
Bila wao Fiesta haitakuwa poa?
Au viongozi hutumia tamasha hili kujikuza kisiasa?
Au wana interest ya 10% ya mapato ya fiesta?
Hakuna namna bora kuelewa tu hata visivyoeleweka aka MATAGAMkuu General Mango, hii imekaa vizuri, iko poa na ni sahihi kabisa.