Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Waliopita walipiga promo ulikaa kinya,alipifanya Makonda tu ukafyatuka!.kweli Makonda ana damu ya kunguniSio Makonda pekee, hata Wakuu wa mikoa mingine, ma RPC
Hata Mkapa anawafanyia promo Dsm Community Bank, hii ni kawaida sana!Mkuu General Mango, hii imekaa vizuri, iko poa na ni sahihi kabisa.
Tamasha la fiesta lina pande 3,
The Bussiness aspect, Clouds wanafanya biashara na kuvuta mpunga mnene.
The Social aspect, watu wanaburidika kwa kuenjoy na ku relax, hivyo kufurahi na kupata ustawi.
The Interprenaship, hii wanafundisha kuchangamkia fursa, hivyo kutoa ajira na kupunguza unemployment na vibaka.
Hayo ni miongoni mwa majukumu ya viongozi wote kuyapromoti.
P
WCB vidagaa tu..watashindana wapi na CMGMawingu wameamua kushirikiana na mvaamizi wao waziwazi? Kwa kweli WCB wawape poo kidogo wenzao, hii kamata mwizi ni hatari, tukutane NANGWANDA, tukaijaze NANGWANDA.
Mwenyekiti wa kamati ya usalama ya mkoa, sio mbaya kutia neno kwa jambo linalofanyika mkoani kwakeNimemuona Rc wa DSM, Ndugu Makonda akihamasisha Fiesta na kulifanyia promotion.
Je ni sahihi viongozi wa kisiasa kutumika kwenye matangazo ya biashara ya makampuni binafsi?
Sio Makonda pekee, hata Wakuu wa mikoa mingine, ma RPC nimeona wakifanya hivi.
Hii imekaajee??
WCB ni vidagaa kweli , ila waliomo humo sio vidagaa kabisa ni wakali wa hizi kazi kweli kweli sasa CLOUDS kapata mshindani wa kweliWCB vidagaa tu..watashindana wapi na CMG
Kwani mkapa ni kiongozi was nchi gani kwa sasa?swali LA general mangi limebase kwa viongozi was serikali kuhusika katika matangazo ya biashara!!Hata Mkapa anawafanyia promo Dsm Community Bank, hii ni kawaida sana!