Ni sahihi Mama Mkwe kuingilia malezi ya watoto wangu?

ushawah kumwambia au unatanguliza heshima
Heshima haitokuja usipomwambia na ajue nafasi yake ni ipi kama bibi
 
Mama mkwe yupo sahihi, kama alizaa na kumlea mtu ukamuona anafaa na ukamweka ndani, basi huyo mama yupo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…