Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 487
- 1,287
Mkuu....Kama nyote ni wahuni sawa
Mimi hapanaSisi ni washkaji, tunataniana fresh tu hamna noma na bado heshima iko palepale.
Nakazia...Sisi ni washkaji, tunataniana fresh tu hamna noma na bado heshima iko palepale.
Naunga mkono hojaNdoa ni heshima mzoe mbwa atakufuata msikitini
Ni mbayaa sanaa na wanawake ndo huwa wanavuka mstariiii aisee.. Unaweza pigaa ukauaaaaHao mwisho wao huwa mbaya sana hasa mmoja anapovuka mstari wa utani wa matusi
mchumba your in puts zinahitajika hapaKuna baadhi ya wanandoa na wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi tena matusi mengine ni ya ajabu sana
Na wanawake wanapenda sana kutumia matusi kwa wenza wao Kama matani
Mifano ni mingi,mfano ikiwa mwanamke anataka kufahamu mumewe alipo atampigia simu au sms "Weee bwege uko wapi?
Wewe kenge njoo ule
Halafu wewe nyoko acha ubishi basi!
Wewe mwanaume wa michepuko Sasa hivi upo kwa nani coz sikuoni home "
Wanaume nao hukubali kujibizana kwa njia hiyo hiyo ya matusi mpaka ya nguoni
Je ni sahihi kutaniana kwa njia ya matusi?
Binafsi ni big nooooooo!!!!
Kuna matusi na matusi.Kuna baadhi ya wanandoa na wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi tena matusi mengine ni ya ajabu sana
Na wanawake wanapenda sana kutumia matusi kwa wenza wao Kama matani
Mifano ni mingi,mfano ikiwa mwanamke anataka kufahamu mumewe alipo atampigia simu au sms "Weee bwege uko wapi?
Wewe kenge njoo ule
Halafu wewe nyoko acha ubishi basi!
Wewe mwanaume wa michepuko Sasa hivi upo kwa nani coz sikuoni home "
Wanaume nao hukubali kujibizana kwa njia hiyo hiyo ya matusi mpaka ya nguoni
Je ni sahihi kutaniana kwa njia ya matusi?
Binafsi ni big nooooooo!!!!
True utani wa matusi hauwezi dumisha ndoa ni swala la muda tu mambo bwii!!Lakini hamuwezi fika mbali.
Kumbuka ndoa ni ibada maneno uumba mzaa mzaa utatumbua jibu.
Kesho atakuita bwege mbele za watu ndipo utarusha ngumi.
wanawake sio wa kuleta nao mazoea ya kijingaa yani chunga sanaa.. Kingine mwanamke asikupazie sautii kama anakugombeza hiyo usimzoeshee aisee..True utani wa matusi hauwezi dumisha ndoa ni swala la muda tu mambo bwii!!