Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakaziawanawake sio wa kuleta nao mazoea ya kijingaa yani chunga sanaa.. Kingine mwanamke asikupazie sautii kama anakugombeza hiyo usimzoeshee aisee..
Hakuna Heshima ya kuitana Bwege hapo.Sisi ni washkaji, tunataniana fresh tu hamna noma na bado heshima iko palepale.
Seriously...Nakazia...
Mapenzi hayataki kuwa serious kila wakati....Kuna wakati mnakuwa kama ndugu, kuna wakati mnakuwa washikaji...Maneno ya kipuuzi yanatumika kama siyo wapenzi...
Na vitu kama hivyo ndiyo hunogesha Mahusiano.
Kweli KabisaKila mtu atapata wa kufanana nae.
Ndege wafananao huruka pamojaKila mtu atapata wa kufanana nae.
😆😆Kuna matusi na matusi.
Matusi ya nguoni km qumamaqe hapana haifai.
Ila kama kuitana majina ya wanyama au vitu kama wee bata,we kuku jike au we sufuria,au we wowowo ni sawa na ni fresh tena raha sana.