Walio oana au wapenzi wa kimalaya malaya wasio na heshima au adabu au nidhamu au maadili ya kujua mume au mke ni nani au mwanandoa mtarajiwa ndio hufanya hayo matani ya waliolelewa uswekeni, hiyo ni tabia ya kishenzi na waliolelewa kishenzi shenzi yaani uswekeni, wapenzi au wana ndoa heshima au adabu au lugha nadhifu, yenye hekima, busara na nidhamu ndio msingi mkuu wa kuishi maisha mazuri na miaka mingi..
Tabia hizo za kishenzi ni za washenzi tu katika ndoa au wana ndoa watarajiwa, yaani malaya wamekutana