Ni sahihi mke na mme au wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi?

Hao wenye mitusi hata adabu hawana ukiwachunguza vizuri, wengi wameokotana kimboka kwahiyo ununuaji unaendelea hata baada ya kuoana..!!! Mtu mwenye akili timamu huwezi kutoa mitusi hovyo mbele za watu eti nyie washkaji mnataniani mxiewwww!!!

Na wengine huo ujinga wao wanauendeleza hata baada ya kupata watoto, wakiwa panya road baadae mnaanza kulalamika..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…