Ni sahihi mke na mme au wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi?

Ni kawaida sana kwa wanandoa/wapenzi wa hivyo kutukanana. Sasa kali ni pale kunako mnyanduano mwanamke akijisikia utamu anatukana matusi yote, kama haitoshi anapiga ukunga/mwano kana kwamba anapigwa mpaka majirani husikia hizo kelele. Hiyo ni aina ya wanandoa/wapenzi wanavyochukuliana
 
Mambo yao wachie wenyewe...


Cc: Mahondaw
"Kikaragosi"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣


"Maku yako"😏😏 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣



Una uchizi wako fulani so amazing 😛

Katika mazingira ya utani Inaruhusiwa na Inapendeza sana
 
Leta ulokole chumbani uone unavyochapiwa na wahuni,kwa taharifa yako wewe mstaarabu mkeo anagongwa na sie wenye matusi wala sio wastaarabu wenzio,
🤣🤣🤣🤣 ww mke wangu anapigwa matusi ya kitandani sio hayo ya mdomoni bwege wewe
 
Asee yani mi ni mtu wa matusi sana mke wangu mara ya kwanza alikuwa anakwazika ila saivi tumekuwa pipa na mfuniko nikimwita k ana niita mbr yani full matusi mtoto wetu bado mdogo miezi 13 hivi tunajifunza sasa kuacha asee kasijekuwa kahuni
Kinachofanya wengi waone ni mbaya nadhani ni insecurities tu, wanakuwa ni watu fulani hivi wasiojiamini na wanaohisi kudharauliwa. Kimsingi dharau za mwanamke zipo kwenye matendo na wala si maneno.

Ukipata mwanamke smart, anaetambua majukumu yake, anakusikiliza na kufanya kila unachomueleza, utani wa maneno unawezaje kuwa ishara ya dharau? Na kwanza kama wote akili zinafanya kazi vizuri basi hamuwezi kuvuka mipaka na matani yatakayofanyika ni yale ya kila siku (ambayo mmezoea kuitana tena mkiwa indoor)


Nakubali hilo swala haliwezekani kufanyika kwa kila couple, ila ikitokea watu wana chemistry na kuendana katika vitu vingi, swala la utani halikwepeki.
 
huo utani ndio huimarisha ndoa sana
 
Kuna mambo yanafurahisha sana...
 
Kweli mkuu mimi bahati ni kwamba nimemwoa rafiki yangu kweli mbali na utani mwingi lakini tunaheshimiana sana sana..
 
Inategemea jinsi hao wanandoa walivyozoeshana. Kama walizoeshana matusi na kila mmoja anayachukulia poa, hakuna shida hata kidogo. Maisha yaendelee!
 
Chakushangaza mahusisiano ya watu wa aina hiyo hua yanadumu muda mrefu kuliko yale ya watu walio serious.

Ukitaka kufurahia mapenzi pata mwenza ambae chemistry zinaendana.
Uko sahihi kabisaa.
 
Utani mzuri ni kama ule wa

We Mama Magufuli hebu toka humo kwenye gari uje uwasalimu wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…