Ni sahihi mke na mme au wapenzi kutaniana kwa kutukanana matusi?

Kwani matusi ni nini?
Tusi lipo kwenye unachokitafsiri baada ya unachokisikia.
Mi kwanza sipendi kuitwa mpenzi, babe, love , darling, honey.
yamekaa kinafiki sana
Yani siku ukiona nakuita babe, mpenzi, honey, love ujue nakaribia kukuacha.
Mtu niliye na hisia naye simwiti majina common mimi!
 
Ni hapana kubwa sana, ni lazima heshima itamalaki
 
my man tunaitana nyiko kenge we fala ,bashaangu, shogaangu, my wangu, nyau, we papa,
Na namuheshimu hadi basi!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakaziaa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ina sound good, tuishi humu.
 
Sasa kama mliokotania bar,what du expect?
 
Sio sahihi kabisa kwasababu mwisho wake unakuaga mbaya sana mmoja wao akizidisha kwa mfano kuna mwanamke aliwai kuachana na mumewe sasa kwenye kujibizana aliwai kumtukana mumewe ambaye ni mlinzi kwamba ww huna lolote bwege tu nenda kalale getin uko aisee io kauli ilimuuma sana uyo jamaa kwaio sishauri kabisa ayo maiya utani na matusi
 
Mithali 14:12 Iko njia ionekanayo kuwa sawa Kwa mtu bali mwisho wake huelekeza mautini.

Mithali 3:5_6 Mtumaini Bwana Kwa moyo wako wote Wala usitegemee ufahamu wako mwenyewe;Katika Kila njia zako mtambue,naye atazielekeza njia zako.

Nipende kusema watu wanaofanya mambo kama hayo wanafungua mlango Kwa Shetani kwenye ndoa Yao.Na wote mnajua kazi ya Shetani “Kuiba kuua na kuharibu” (Yohana 10:10)
 
Kwa haraka haraka nilidhania KUTIANA Dah.....kiswahili hiki
 
Ngati mngaana wangu nimwite beeebi, weenga!
kweeli? gangi neene agha ,mbwiiitu wee!
Kulonda kyani kukemelana ge mahina gazuri gazuri? Mbo makehu gena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…