MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,304
- Thread starter
-
- #21
Tumia Akili Hukumu mpaka inatolewa na Mahakama kuu ni wazi Taratibu zilifuata ingejuwa hazikufuata lisingefika Mahakama Kuu lingeamuliwa lifuate TaratibuSuala la ardhi linatatuliwa na Mahakama za Ardhi labda aliona huo mgogoro haukufuata taratibu stahiki ndiyo maana akapuuza hiyo hukumu.
Mkuu mi nakushauri rudi kwa Msajili wa Mahakama Kuu na atakupa muwongozo mzuri tu juu ya Hukumu yako na utekelezaji wake!!Tumia Akili Hukumu mpaka inatolewa na Mahakama kuu ni wazi Taratibu zilifuata ingejuwa hazikufuata lisingefika Mahakama Kuu lingeamuliwa lifuate Taratibu
Asante sana kwa Ushauri MkuuMkuu mi nakushauri rudi kwa Msajili wa Mahakama Kuu na atakupa muwongozo mzuri tu juu ya Hukumu yako na utekelezaji wake!!
Sasa wewe uliyetumia akili ndefu kupita minazi eleza Mkurugenzi amepata wapi uthubutu wa kudharau hukumu ya Mahakama Kuu?Tumia Akili Hukumu mpaka inatolewa na Mahakama kuu ni wazi Taratibu zilifuata ingejuwa hazikufuata lisingefika Mahakama Kuu lingeamuliwa lifuate Taratibu
Mahakama kwa upande mmoja inachangia utekelezaji wa hukumu kuwa mgumu. Sheria inaelekeza mwenye tuzo (mshindi wa kesi) kukaza hukumu kwa kushikilia mali ya aliyeshindwa kesi, ama kwa kushikilia akaunti ya benki ama kwa kumdunga jela yule aliyeshindwa.Hivi ni kwa Nini hizi Hukumu za Mahakama Kuu zinakua ngumu sana kuzitekeleza!!?? Yaani kutekeleza hukumu utafanyiwa zengwe hadi unakataa tamaa, Jana nomeona kwenye taarifa ya habari ITV baada ya Mwaka toka Hukumu itokee Jana Mama ndiyo kakabidhiwa eneo lake tena kwa force!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Hana UTHUBUTU wowote zaidi ya kutojua sheria na kuwaogopa madiwani kumuazimia na BAHATI nzuri ni miongoni mwa Wakurugenzi wakiotemwa Ukurugenzi na Bi mkubwaSasa wewe uliyetumia akili ndefu kupita minazi eleza Mkurugenzi amepata wapi uthubutu wa kudharau hukumu ya Mahakama Kuu?