Ni sahihi Mkurugenzi wa Manispaa kukataa kutekeleza hukumu ya Mahakama Kuu na kutekeleza uamuzi wa Madiwani kinyume na hukumu ya Mahakama?

Ni sahihi Mkurugenzi wa Manispaa kukataa kutekeleza hukumu ya Mahakama Kuu na kutekeleza uamuzi wa Madiwani kinyume na hukumu ya Mahakama?

Suala la ardhi linatatuliwa na Mahakama za Ardhi labda aliona huo mgogoro haukufuata taratibu stahiki ndiyo maana akapuuza hiyo hukumu.
Tumia Akili Hukumu mpaka inatolewa na Mahakama kuu ni wazi Taratibu zilifuata ingejuwa hazikufuata lisingefika Mahakama Kuu lingeamuliwa lifuate Taratibu
 
Tumia Akili Hukumu mpaka inatolewa na Mahakama kuu ni wazi Taratibu zilifuata ingejuwa hazikufuata lisingefika Mahakama Kuu lingeamuliwa lifuate Taratibu
Mkuu mi nakushauri rudi kwa Msajili wa Mahakama Kuu na atakupa muwongozo mzuri tu juu ya Hukumu yako na utekelezaji wake!!
 
Tumia Akili Hukumu mpaka inatolewa na Mahakama kuu ni wazi Taratibu zilifuata ingejuwa hazikufuata lisingefika Mahakama Kuu lingeamuliwa lifuate Taratibu
Sasa wewe uliyetumia akili ndefu kupita minazi eleza Mkurugenzi amepata wapi uthubutu wa kudharau hukumu ya Mahakama Kuu?
 
Hivi ni kwa Nini hizi Hukumu za Mahakama Kuu zinakua ngumu sana kuzitekeleza!!?? Yaani kutekeleza hukumu utafanyiwa zengwe hadi unakataa tamaa, Jana nomeona kwenye taarifa ya habari ITV baada ya Mwaka toka Hukumu itokee Jana Mama ndiyo kakabidhiwa eneo lake tena kwa force!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Mahakama kwa upande mmoja inachangia utekelezaji wa hukumu kuwa mgumu. Sheria inaelekeza mwenye tuzo (mshindi wa kesi) kukaza hukumu kwa kushikilia mali ya aliyeshindwa kesi, ama kwa kushikilia akaunti ya benki ama kwa kumdunga jela yule aliyeshindwa.

Njia rahisi kuliko zote na ya uhakika ni hiyo ya kumfunga mtu jela kama mfungwa wa madai, ajabu ni kuwa ukienda na option hiyo, mahakama inakataa kutekeleza inasema kwanza hakikisha option nyingine zote zimeshindikana. Inakupa mzigo wa kutafuta benki akaunti za aliyeshindwa kesi, inakupa kazi ya kujua mali zake nk.. jambo ambalo angepaswa kulisema mshindwa kesi yeye mwenyewe
 
Sasa wewe uliyetumia akili ndefu kupita minazi eleza Mkurugenzi amepata wapi uthubutu wa kudharau hukumu ya Mahakama Kuu?
Hana UTHUBUTU wowote zaidi ya kutojua sheria na kuwaogopa madiwani kumuazimia na BAHATI nzuri ni miongoni mwa Wakurugenzi wakiotemwa Ukurugenzi na Bi mkubwa
 
Back
Top Bottom