Ni sahihi Mpenzi wako kuweka kikwazo cha kuanza maandalizi ya ndoa kwa kusingizia Corona?

Ni sahihi Mpenzi wako kuweka kikwazo cha kuanza maandalizi ya ndoa kwa kusingizia Corona?

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Anasema hebu waombe wazazi tuvutevute subira hadi mwezi wa 7 tuone hali itakavyokuwa ndo tuone cha kufanya, ameambiwa mshikaji mmoja ambaye kashamtambulisha mwanamke kwao ila kwao na mwanamke jamaa katambulishwa juu juu tu, akisema go ahead ya mshenga ni mpaka Corona iishe.

Nimemuuliza je una uhakika Corona inaisha leo au kesho? Nikasema amchunguze mtu wake uwenda hataki ndoa anachotaka ni mtaji aliomuomba
 
Ndoa anaweza kua anaitaka ila pia saivi ujuehamna masherehe makubwa makubwa kama mwanzo.
Inawezekana bidada anategea corona iishe na yeye afanye sherehe kubwa. Saivi kimya kimya,wanahudhuria watu wachache wa muhim.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nadhani ndoa ninavyoifikiria sivyo ilivyo aiseeh..
Hivi mambo ya hivyo si achonge na huyo manzi amsikia anavyo-sound akimuona haeleweki afanye maamuzi magumu tu
IMG_20200415_180727.jpg
 
Has
Ndoa Wasizidi Watu 10 Unafunga Muda Wowote
Hapo Ujue Mchumba Anapima Unga & Maji
 
Hapo mwanamke anawaza akiolewa bila sherehe itakuwa aibu kwa mashoga zake maana atakuwa hana cha kuwaringishia.
 
wanawake wana tabia ya kulazimisha ndoa kwa wanaume wanaowapenda

ukiona mwanamke hataki ndoa kwa sababu nyepesi nyepesi shtuka
 
Kwa nini Afunge ndoa Papuchi hapati? Kama anapata mwambie Asiwe na shaka aendelee kuchakata tu

CC Zero IQ
 
Mnapata wapi nguvu za kuwaza ndoa na harusi kipindi hiki?Hadi ndugu zenu wazikwe na manispaa ndo muelewe?
 
Back
Top Bottom