Anasema hebu waombe wazazi tuvutevute subira hadi mwezi wa 7 tuone hali itakavyokuwa ndo tuone cha kufanya, ameambiwa mshikaji mmoja ambaye kashamtambulisha mwanamke kwao ila kwao na mwanamke jamaa katambulishwa juu juu tu, akisema go ahead ya mshenga ni mpaka Corona iishe.
Nimemuuliza je una uhakika Corona inaisha leo au kesho? Nikasema amchunguze mtu wake uwenda hataki ndoa anachotaka ni mtaji aliomuomba