Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

Tunaogopa sana macho ya watu kuliko furaha zetu
Hii mentality ni mbaya sana
Life is about choices u make a choice n u face the consequences period
Afterall we learn through mistakes if we dont make mistakes how can we learn??

Its not easy as u think tena more especially ukiwa Ke jamii haikuchukulii vile unavyoona wewe
 
Je kipi kinakuwa cha kwanza akilini/nafsini/moyoni mwako.

jamii au feysher ?

Uhalisia ni kwamba hakuna jambo utakalolifanya hata iweje kuweza kuiridhisha jamii.
 
Ni kweli usemacho ila wengi tumefunikwa na mawazo ya jamii ni ngumu kufanya ukitakacho
 
Ndio mkuu

Nmechukulia mfano wa Sara mke wa Abraham ambae ali conceive akiwa na 90. Ila imefaa zaidi kwa wenye imani.

Nimekwelewa mkuu asante
 
Naomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Fanya upate mtoto mapema kama unahakika unaweza lea mwenyewe kama huwezi acha
 
Nadhani ntasubir mkuu
Unapofanya jambo lazima uwe na uhakika kuwa unaweza fanya peke yako kwanza hasa kwenye malezi kwa dunia ya sasa maana hata sisi wanaume kuna muda tunakuwa wabinafsi sana
 
Nimekwelewa ila nikiwaza sana naona nakosea kusubiri sana au niuwoga tu mbona uswahilini watoto wadogo wanazaa tu na watoto wao wanakua tu vizuri
 
Wengi bado wako kwa wazazi na mzigo bado uko kwa bibi na babu lazima wapete
 
Huyu mama hajalea mda mrefu sana namuona anavyotamanigi wajukuu wa wengine /ndugu ingawa anamkwara wa kutozaa kabla ya ndoa
 
Dada zetu Msije tu kurupuka kuzaa na walevi wa gongo kisa umri unaenda.

Twendeni na flow za maisha tusiforce mambo Mwisho mtufunglie uzi humu wanaume wamepungua.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntazingatia
 
Being hard doesnt mean Is impossible
Ukiangalia sana watu wanasema nn u will never accomplish anythng in this world
Only you as yourself knws better wht you are capable of than anyone else
Its not easy as u think tena more especially ukiwa Ke jamii haikuchukulii vile unavyoona wewe
 
Being hard doesnt mean Is impossible
Ukiangalia sana watu wanasema nn u will never accomplish anythng in this world
Only you as yourself knws better wht you are capable of than anyone else

Nimekwelewa asante
 
The funny thing about critics is whatever u do
Whichever side you choose good or bad there will be haters
Je kipi kinakuwa cha kwanza akilini/nafsini/moyoni mwako.

jamii au feysher ?

Uhalisia ni kwamba hakuna jambo utakalolifanya hata iweje kuweza kuiridhisha jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…