The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
mchango mzuriWengi wao ambao hawana changamoto za afya/wenza wa kudumu huwa :
-waoga wa majukumu
-kupenda utoto /ujana uendelee kudumu maishani mwao
-kuogopa miili kulegea /kuzeeka
-uchoyo na kuendekeza starehe za ujanani
-kutokuwa na uhakika wa matunzo /kipato
-kuiogopa suluba ya labor /kuzaa kwa uchungu
-kuathiriwa na imani kwamba akizaa maungo yao yatatanuka(ashakum si matusi) kuwa na bwawa
-kuwa na historia ya kuumizwa kisaikolojia au kuteswa kimwili hapo awali hasa na wanaume.
Hayo ni maoni yangu tu.