Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

Ni sahihi mwanamke kufika miaka 30 bila mtoto kwa kigezo cha kusubiri ndoa?

Ni vyema ukaolewa before 28 na ukaanza zaa before 30 ,lakini yana mambo mengi so isipokuwa bahati yako kuzaa sio mbaya hadi 40
 
Naomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Kuzaa unaweza kuzaa katika umri wowote kikubwa uwe na uwezo wa kubeba mimba.

Kujifungua salama au si salama ni mipango ya Mungu siyo utashi wako wewe.

Kufanya jambo kwa kuangalia hii ni sawa au si sawa katika jamii ya Leo ni kupoteza muda maana hata jamii yenyewe ilishapoteza mwelekeo.

Usidanganyike na vihoja eti akili za mtoto zitakuwa na walakini kimsingi hakuna ushahidi wa kisayansi unaothibitisha hili tofauti na story za kwenye kahawa na saluni mshenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanzia miaka 35 mwanamke akiwa labour, tayar ni pregnancy with complication.

Kujifungua kwa njia ya kawaida ni mala chache sana.
Upasuaji niwakufikia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wanawake wamezaa watoto 14 unacomment nini juu ya hilo? Nyie madaktari wa kisasa mnawalemaza sana wanawake.

Sent using my Nokia Torch
 
Mke wangu nilimuoa akiwa na miaka 32,mpaka sasa tuna watoto watatu ,mmoja dume wawili wa kike wakiwa na afya njema na nzuri,na bibie hajapata na wala hana complication zozote zile
Umeona ee...tatizo watu wamekariri tu na hakuna evidence
Mimi binafsi ninawajua wengi waliozaa had wakiwa na40, 42, 43, na hakukuwa na complications na watoto wako vizuri tu na wala hawana akili zilizolala kama ambavyo watu wanasema et ukichelewa utazaa watoto wasio na akili.
 
Kama muujiza ulimtokea Sarah kwanini usimtokee mtu mwingine ?
Maana Mungu ni wetu sote

Sent using Jamii Forums mobile app
muujiza ni kwa situation maalum kumrudishia utukufu mungu ,kama ni hivyo tutor wagonjwa hospital tukapeleke madhabahuni ,hata yesu hakuponya wagonjwa wote ,aliponywa kupata imani asikilizwe ampeutukufu mungu
 
Naomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Nashindwa kukushauri mkuu, maana hapo umechanganya mambo mbili tofauti kabisa.....
Namaanisha hakuna uhusiano kati ya mtoto na ndoa, ama kwa lugha nyepesi ni kwamba.....
Ukiwa na mtoto haimaanishi kwamba hauto pata ndoa, ama kuipata ndoa haimaanishi kwamba ndio utapata mtoto.
Asante kwa kunielewa [emoji5] [emoji5]
FB_IMG_1552328581505.jpg
 
Ni vyema ukaolewa before 28 na ukaanza zaa before 30 ,lakini yana mambo mengi so isipokuwa bahati yako kuzaa sio mbaya hadi 40
Kumbe unataka kuhalalisha ubaya au uzuri wa kuolewa au kuzaa mapema au kuchelewa umekuwa Mungu?

Ndo maana Shetani anawavuruga sana vijana maana kawajengea hiyo saikolojia na Mwisho wa siku utaforce uolewe kabla ya muda wa Mungu wa kuzaa au kuolewa na Mtaishia kuzalia nyumbani ai kiwa single mother kwa mtizamo ilionao nakishauri utoe bali jitaidi uamini na Ukubali Kuwa

Ndoa sio kuwai wala kuchelewa ni hayo tu mkuu
 
Kuna mama jirani yangu aliolewa at the age of 38 mwaka 1998 baada ya kuolewa alizaa na mume wake watoto watatu na wote alijifungua bila shida.

Watoto wake ni vipanga wazuri tu shuleni wawili wako secondary na mmoja yuko primary.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miujiza ya Mungu hutendeka popote na kwa situation zozote hakuna situation maalumu ya muujiza
muujiza ni kwa situation maalum kumrudishia utukufu mungu ,kama ni hivyo tutor wagonjwa hospital tukapeleke madhabahuni ,hata yesu hakuponya wagonjwa wote ,aliponywa kupata imani asikilizwe ampeutukufu mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini uzae mtoto uzeeni? Huko ni kukwepa majukumu. Unataka ufe utuachie "mjukuu" wako amlee nani? Natania 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Duh kuna watu wanazaa at 40???? Ni walikua wanatafuta watoto kwa muda bahati mbaya au
 
Naomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa

Inamtegemea sana na status yake, kwa nini mda umepita hajaolewa? What are the expectations? Imani yake inamtakaje etc? Huwezi uliza swali complex hivyo online, if you need help pm
 
Ona mkuu usiumize kichwa.

Kuna mtu alizaa akiwa namiaka 25 lkn baba mtu akamtelekeza nasasa anahangaika sana.

Mwingine akaja zaa anamiaka 32 ndani ya ndoa mpaka sasa wanaishi pamoja.

Maisha yetu kila mtu yupo ktk muda wake ila itategemea unataka nn !!

Kwasababu ya kujiona mmechelewa, mmejikuta mnazalishwa, mnakimbiwa, mnaanza tena kuwachukia wanaume.

Ila mama kama una kakazi kako, kakukumudusha kimaisha, Wee date tu. Ikitokea umeshiks mimba basi zaaa tu, yawezekana ndio njia yako ya kukufikisha kwa mwanaume ambaye ndio chaguo lako .
Maybe is true

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashindwa kukushauri mkuu, maana hapo umechanganya mambo mbili tofauti kabisa.....
Namaanisha hakuna uhusiano kati ya mtoto na ndoa, ama kwa lugha nyepesi ni kwamba.....
Ukiwa na mtoto haimaanishi kwamba hauto pata ndoa, ama kuipata ndoa haimaanishi kwamba ndio utapata mtoto.
Asante kwa kunielewa [emoji5] [emoji5] View attachment 1047721
Yaaan we jamaaa[emoji134][emoji134][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh kuna watu wanazaa at 40???? Ni walikua wanatafuta watoto kwa muda bahati mbaya au
Wengine wanakuwa wameolewa na 30's years... Wengine wanakuwa wamea za kuzaa mapema but wanazaa tu watoto wengi so unakuta mtu ana 42 na ana kichanga
 
Back
Top Bottom