Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndo maana uliitwa muujizaMbona Sarah mke wa Ibrahim alipata mtoto akiwa na miaka 90 je Isaka alikuwa na akili kidogo ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzaa unaweza kuzaa katika umri wowote kikubwa uwe na uwezo wa kubeba mimba.Naomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Kuna wanawake wamezaa watoto 14 unacomment nini juu ya hilo? Nyie madaktari wa kisasa mnawalemaza sana wanawake.Kuanzia miaka 35 mwanamke akiwa labour, tayar ni pregnancy with complication.
Kujifungua kwa njia ya kawaida ni mala chache sana.
Upasuaji niwakufikia tu
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo maana uliitwa muujiza
Kuna wanawake wamezaa watoto 14 unacomment nini juu ya hilo? Nyie madaktari wa kisasa mnawalemaza sana wanawake.
Sent using my Nokia Torch
Umeona ee...tatizo watu wamekariri tu na hakuna evidenceMke wangu nilimuoa akiwa na miaka 32,mpaka sasa tuna watoto watatu ,mmoja dume wawili wa kike wakiwa na afya njema na nzuri,na bibie hajapata na wala hana complication zozote zile
muujiza ni kwa situation maalum kumrudishia utukufu mungu ,kama ni hivyo tutor wagonjwa hospital tukapeleke madhabahuni ,hata yesu hakuponya wagonjwa wote ,aliponywa kupata imani asikilizwe ampeutukufu munguKama muujiza ulimtokea Sarah kwanini usimtokee mtu mwingine ?
Maana Mungu ni wetu sote
Sent using Jamii Forums mobile app
Nashindwa kukushauri mkuu, maana hapo umechanganya mambo mbili tofauti kabisa.....Naomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Kumbe unataka kuhalalisha ubaya au uzuri wa kuolewa au kuzaa mapema au kuchelewa umekuwa Mungu?Ni vyema ukaolewa before 28 na ukaanza zaa before 30 ,lakini yana mambo mengi so isipokuwa bahati yako kuzaa sio mbaya hadi 40
muujiza ni kwa situation maalum kumrudishia utukufu mungu ,kama ni hivyo tutor wagonjwa hospital tukapeleke madhabahuni ,hata yesu hakuponya wagonjwa wote ,aliponywa kupata imani asikilizwe ampeutukufu mungu
Wala sio utani..mtu at 45 kuzaa ni kukwepa majukumuKwa nini uzae mtoto uzeeni? Huko ni kukwepa majukumu. Unataka ufe utuachie "mjukuu" wako amlee nani? Natania 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Naomba tujadili kidogo je kufikisha miaka 30+ kwa binti bila kuwa na mtoto kwa misimamo ya kusubiri Ndoa ni sawa au si sawa
Maybe is trueOna mkuu usiumize kichwa.
Kuna mtu alizaa akiwa namiaka 25 lkn baba mtu akamtelekeza nasasa anahangaika sana.
Mwingine akaja zaa anamiaka 32 ndani ya ndoa mpaka sasa wanaishi pamoja.
Maisha yetu kila mtu yupo ktk muda wake ila itategemea unataka nn !!
Kwasababu ya kujiona mmechelewa, mmejikuta mnazalishwa, mnakimbiwa, mnaanza tena kuwachukia wanaume.
Ila mama kama una kakazi kako, kakukumudusha kimaisha, Wee date tu. Ikitokea umeshiks mimba basi zaaa tu, yawezekana ndio njia yako ya kukufikisha kwa mwanaume ambaye ndio chaguo lako .
Yaaan we jamaaa[emoji134][emoji134][emoji1787]Nashindwa kukushauri mkuu, maana hapo umechanganya mambo mbili tofauti kabisa.....
Namaanisha hakuna uhusiano kati ya mtoto na ndoa, ama kwa lugha nyepesi ni kwamba.....
Ukiwa na mtoto haimaanishi kwamba hauto pata ndoa, ama kuipata ndoa haimaanishi kwamba ndio utapata mtoto.
Asante kwa kunielewa [emoji5] [emoji5] View attachment 1047721
Wengine wanakuwa wameolewa na 30's years... Wengine wanakuwa wamea za kuzaa mapema but wanazaa tu watoto wengi so unakuta mtu ana 42 na ana kichangaDuh kuna watu wanazaa at 40???? Ni walikua wanatafuta watoto kwa muda bahati mbaya au